Ukitumia ID feki usiweke signature yako

Unaweza kuta JF ina memba wasio zidi 20 tu.
teheheheheheheh, mkuu, umenikumbusha mbali kidogo, siku moja kuna member humu nilimfumumania nyumbani kwake ghafla akawa anakimbizana kuzima pc, mara simu zake, sasa nkashtukia ikabidi nianze kumdadisi kwa lugha ya kumlaghai anambie nini mshtuko wake, hapo sasa ndio ilinibidi nicheke kufa, kumbe ana ID zaidi ya 3, na zote zake zina function kwa wakati mmoja, yaani kaanzisha thread kwa pc, anajijibu kwa simu nokia, analike status na coments zake kwa simu nyingine ya samsung, huku akijitishia kwa kuwaambia mods wampige ban kwa kutumia cm nyingine ya htc yenye id nyingine. hapo ndio nilichoka kabisa, chezea GT.
 
Hahhhahhha ina maana na mie nikiweka signature ya le mutuz ni yeye au? ?
 
Nimefuatilia uzi huu sijaona mahali Le Mutuz amekanusha, kwa kweli kashikwa. Ila bahati mbaya yule kiumbe mshipa wa haya umekata long time ago.
 
Back
Top Bottom