Tetramelyz
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 4,351
- 12,396
Kwa ujumla mwanamke anaweza kuwa anapenda niniInategemea na mwanamke ulie nae anapenda vitu aina gani
NotedMimi nilivtoka Zanzibar nilimnunulia zile chocolate wanazua kwenye boat.. alifurahi vibaya mno
Baada ya kugundua nilikuwa nisharudi mikono mitupu..
Hapa hapa mjini, kwenda mkoaniUnatokea nje ya nchi au humu humu bongo? Zawadi zinatofautiana kutegemea unatoka nje au uko hapa hapa nchini.
Lazima utakuwa ni muuzaji pale Kino StudioPitia kinondoni studio kuna magauni mazuri yamevalishwa midoli chagua moja hata la alfu 90.mchukulie atafurahi ama kiatu.
Hapana mkuu mi mishe zangu ilala sema naendaga Tarimba house Mwanamboka kula Shawarma.Lazima utakuwa ni muuzaji pale Kino Studio