Ukitoka Dar asubuhi unaingia Bunda saa ngapi?

chiefnyumbanitu

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2015
Posts
906
Reaction score
426
Habari wana JF,

Natumaini mko salama kabisa.

Shida yangu naomba kujua nmekata tiketi ya kwenda Bunda katika basi la kampuni ya MJ coach, naomba nijue ukitoka asubi Ubungo Bunda unaingia saa ngapi?

Ni hayo tu natnguliza shukrni kwenu.
 
habari wana jf natumain mko salama kabsa. Shida yangu naomba kujua nmekata tiket ya kwenda bunda ktk basi la kampuni ya mj coach naomba nijue ukitoka asubhi ubungo bunda unaingia saa ngapi??

Ni hayo tu natnguliza shukrni kwenu.
Kwani ili ufike Bunda unapita wapi na wapi? tutajie ili tuhesabu idadi ya tochi kabla hatujakukokotolea
 
kwa experience yangu nazan km ngoma saba au nane usiku coz mwanza lazma ufke saa tano au sita iv
 
Wafrika Mungu atupe nini tuache kutumia nguvu zaidi kuliko akili???
Mtu unayo smartphone then unauliza swali kama hili kweli karne hii aise Tanzania ya viwanda hii duh!

Screenshot_2016-08-15-17-02-12.png
haya bhana sijui utatumia njia gani ila hiyo ni ya Arusha.
 
Usafiri wa bus kwa sasa hauna estimate ya Muda. Tochi zimezidi. Muda wa kukaa barabarani umekuwa too much na Sumatra na wenzao police hawaoni athari zake kiuchumi. Imagine safari kama ya dar-dodoma 450km inacost 9 hrs.... This is too much from economy point of view. Kama maamuzi ya barabarani yanafanyika kwa kutangaza jicho la ajari then we are wasting time kujenga barabara. We need to keep time any yet save lives.
 
kwa serikali iliyopita ilikuwa inakulazimu kufika kesho yake majira ya saa 3 mpka 4 hvi kama ukitumia usafir wa Osaka, kwa hali ilivyo ndani ya utawala huu, naamin kunakuchelewa zaid ya hpo
 
Habari wana JF,

Natumaini mko salama kabisa.

Shida yangu naomba kujua nmekata tiketi ya kwenda Bunda katika basi la kampuni ya MJ coach, naomba nijue ukitoka asubi Ubungo Bunda unaingia saa ngapi?

Ni hayo tu natnguliza shukrni kwenu.
Kawaida magari yanayoenda Bunda ni yale magari yanayoishia Musoma(Dar- Musoma).Mkuu magari ya Musoma yanaondoka Ubungo saa 12:00 asubuhi.Kuna njia mbili ya kwanza ambayo ndiyo inayotumika sana ni ile inayopitia Mwanza (Dar-Pwani-Moro-Dodoma-Singida-Tabora-Shinyanga-Mwanza-Simiyu-Mara+Bunda)ambayo ndiyo inayoanzia Ubungo.Zamani magari yalikuwa yakifika Mwanza saa nne na nusu hadi saa tano usiku na Bunda yalikuwa yakipita saa saba na nusu hadi saa nane usiku.Sasa hivi inakubidi ulale Mwanza ambapo kufika ni saa sita au sitana nusu usiku(posibly mtalala Nyegezi au Buzuruga bus stand).Kesho asubuhi saa kumi na mbili mnaanza safari ya Musoma kupitia Bunda,hivyo Bunda tarajia kufika saa mbili au saa mbili na nusu asubuhi.Njia ya pili ni ile ya kutokea/kupitia Arusha hata hivyo hakuna gari linaloanzia Ubungo, itakubidi upande magari ya Dar-Arusha (Dar-Pwani-Tanga-Kilimanjaro-Arusha-Manyara-Mara)kisha unalala Arusha,kesho yake unapanda magari ya Arusha-Musoma.Mabasi yanayoenda huko kutokea Arusha ni Kimotico na Coast line yanafika Bunda saa tisa(Mgeta) au saa kumi(Nyamswa).Safari hii inapitia mbugani serengeti hivyo unaweza kuinjoy mbuga ya wanyama lakini sehem kubwa ya safari njia haina lami na unachelewa kufika Bunda. Safari ni ndefu hivyo jiandae na uchovu.Karibu sana Bunda sokolo!!
 
Hiyo costline akishuka kwenye gari anakua kama aliwekwa kwenye buti. Ila ataenjoy mbuga zote kubwa kuanzia Ngorongoro mpaka Serengeti.
 
Kawaida magari yanayoenda Bunda ni yale magari yanayoishia Musoma(Dar- Musoma).Mkuu magari ya Musoma yanaondoka Ubungo saa 12:00 asubuhi.Kuna njia mbili ya kwanza ambayo ndiyo inayotumika sana ni ile inayopitia Mwanza (Dar-Pwani-Moro-Dodoma-Singida-Tabora-Shinyanga-Mwanza-Simiyu-Mara+Bunda)ambayo ndiyo inayoanzia Ubungo.Zamani magari yalikuwa yakifika Mwanza saa nne na nusu hadi saa tano usiku na Bunda yalikuwa yakipita saa saba na nusu hadi saa nane usiku.Sasa hivi inakubidi ulale Mwanza ambapo kufika ni saa sita au sitana nusu usiku(posibly mtalala Nyegezi au Buzuruga bus stand).Kesho asubuhi saa kumi na mbili mnaanza safari ya Musoma kupitia Bunda,hivyo Bunda tarajia kufika saa mbili au saa mbili na nusu asubuhi.Njia ya pili ni ile ya kutokea/kupitia Arusha hata hivyo hakuna gari linaloanzia Ubungo, itakubidi upande magari ya Dar-Arusha (Dar-Pwani-Tanga-Kilimanjaro-Arusha-Manyara-Mara)kisha unalala Arusha,kesho yake unapanda magari ya Arusha-Musoma.Mabasi yanayoenda huko kutokea Arusha ni Kimotico na Coast line yanafika Bunda saa tisa(Mgeta) au saa kumi(Nyamswa).Safari hii inapitia mbugani serengeti hivyo unaweza kuinjoy mbuga ya wanyama lakini sehem kubwa ya safari njia haina lami na unachelewa kufika Bunda. Safari ni ndefu hivyo jiandae na uchovu.Karibu sana Bunda sokolo!!
Aksante sana kwa kunifahamisha mkuu nimekupata vizuri. Jiandae kupokea ugeni..
 
Back
Top Bottom