Ukitoa Msaada toa na Maelekezo

her ya huyo huku town wiki kama tatu zilizopita yaani net soon baada ya kutolewa niliziona zimefumgiwa lumbesa ya chupa za maji zilizotumika
 
Zina matumizi mengi tu mbona
Kama wavu wa goli
Mtego wa samaki
Mtego wa ndege
Chujio la uchafu
Hakika tumizi moja likiisha lingine hupokea...
 
Zina matumizi mengi tu mbona
Kama wavu wa goli
Mtego wa samaki
Mtego wa ndege
Chujio la uchafu
Hakika tumizi moja likiisha lingine hupokea...

Kujenga uzio wa bustani
Kufugia kuku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…