Bemendazole
JF-Expert Member
- Nov 14, 2020
- 2,362
- 5,881
Una umri gani mkuu....poor you!
Huwezi furahisha kila mtu lakini Pia kama una marafiki wa hivo na unajua, basi wao sio tatizo tatizo ni wwDunia tunayoishi ni Dunia ya mashindano. Maendeleo tunayoyaona sasa yametokana na mashindano yaliyochagizwa na wivu.
Sasa kama uko na site unajenga, ukiona marafiki wamekutembelea na wakaondoka na furaha tele, jua tu kuwa umesha 'poteza pambano'. Ukiweza rekebisha kwa kuboresha ramani ili waweze ku-appreciate jitihada zako.
Pia ukiona wameondoka kimya kimya ujue dozi imewaingia hiyo.
Sasa tunaojenga Contemporary house si watahisi najenga msikiti maana huwa haieleweki bila finishing?
Duuh umeongea pumba mkuu.Dunia tunayoishi ni Dunia ya mashindano. Maendeleo tunayoyaona sasa yametokana na mashindano yaliyochagizwa na wivu.
Sasa kama uko na site unajenga, ukiona marafiki wamekutembelea na wakaondoka na furaha tele, jua tu kuwa umesha 'poteza pambano'. Ukiweza rekebisha kwa kuboresha ramani ili waweze ku-appreciate jitihada zako.
Pia ukiona wameondoka kimya kimya ujue dozi imewaingia hiyo.
Mkuu na wewe una elimu ya chuo kikuuu?Dunia tunayoishi ni Dunia ya mashindano. Maendeleo tunayoyaona sasa yametokana na mashindano yaliyochagizwa na wivu.