Ukitaka ushindwe tumia mfumo dume katika ndoa/mahusiano

Ukitaka ushindwe tumia mfumo dume katika ndoa/mahusiano

Weka stake basi mzee....!
Hakuna cha stake wala nini mbona hapo ameshaweka nyama tena ya nundu?mengine jiongeze muhimu umeshaambiwa ishi nao kibabe na kwa akili no kuonyeshana onyeshana meno hovyo kwenye mambo ya msingi.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Ubabe utakusaidia kama huyo demu si mpambananji...Namaanisha hana kipato cha kumudu hata maisha yake....

Ila kama anakipato na mshahara wake mzuri...brother sahau
 
Back
Top Bottom