nelly nely
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 665
- 229
m###*&$@***$@**##58899...(sonyo) nilijua point ya maana kumbe shudu tupu..
Kipipi bana una maana jana dogo walcott hukumwona?Man U....weraaaaa weraaaaa!!! Bishanga na Arsenal yako utakomaaaa.....
una maana jana dogo walcott hukumwona?
Hahaha! Yaani kuna watu wao hata starehe ni presha! Haya endeleeni kutoleana povu,mie m-chelsea na Chelsea is my home!
Hahaha! Yaani kuna watu wao hata starehe ni presha! Haya endeleeni kutoleana povu,mie m-chelsea na Chelsea is my home!
Zote zinakuwa zake.zikitoka droo?!!
MP.
zikitoka droo?!!
MP.
mimi timu yangu ile inayoshinda.
timu gani? Au mtibwa?
Kaazi kweli kweli!!Zote zinakuwa zake.
Swahiba kashanijibia.