Ukitaka raha jiunge CCM

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
8,526
Reaction score
12,748
Maisha muruwa, hakuna kulinda au kuzuia uchaguzi.

Ukishapiga kura unaongojea kutangaziwa.

Wapinzani unaweza ukajitolea hali na mali na ukapoteza kila chako siku ya siku anaujiuga ccm na kupata cheo wewe ukiuguza majeraha
 
Nyie CCM matupa sana stress Kwa tabia zenu za wizi, ni Bora museme tu wazi sisi tunaamua kuwa madictor, sio mnahadaaa umma.
 
Maisha muruwa, hakuna kulinda au kuzuia uchaguzi.

Ukishapiga kura unaongojea kutangaziwa.

Wapinzani unaweza ukajitolea hali na mali na ukapoteza kila chako siku ya siku anaujiuga ccm na kupata cheo wewe ukiuguza majeraha
No honor among thieves
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…