maganjwa
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 2,800
- 2,337
Huu ni ukweli popote africa na mali yetu inachukuliwa kwa urahisi sana.
Hii maana yake ni hivi ukiwa umesoma waafrica wanaamini unajua kila kitu na kweli ndo ilivyo, lakini sasa hawa wasomi wanatumiwa kuwadanganya wenzani wanaowaamini.
Mfano kijijini kuna madini yamegundulika anakuja mtu kama waziri au kiongozi wa serikaki kwamba mtapata neema kubwa sana katika nchi yetu na nyinyi pia kwa kuwa eneo hili imegundulika nadini kwa hiyo toeni ardhi kwa mwekezaji atawasaidia basi raia wanatoa ardhi kwa mwekezaji baada ya huyo kiongozi anapewa chake na raia habari yao imeishia hapo na wanaanza kunyanyaswa.
Hayo ndo yanaendelea africa nzima wasomi wetu wameshikwa na mawakala wa kimataifa wanaotumia makampuni yao kuchukua mali asili yetu.
Kubwa ni kuingeza uelewa kwa kuwaambia raia dhambi hii mbaya sana unayofanywa na elite group in africa.
Take an example of mgodi wa mara unavyowatesa raia kila mara. who is responsible?
Udanganyufu unaoendelea wa kukwepa kodi kwa makampuni ya madini who is responsible for this?
Bila kuongeza uelewa hatutoki hapa tunatakiwa kuhoji neno sio lina mantiki gani kuliko kulikubali neno simply because amesema msomi au kiongozi.
karibuni