Kwanza kajifunze wa Iran sio warabu, ukisha jua hapo ndo utajua mengine.2013 am with u unajua Iran wanarpopaganda nyingi sna ingawa ni kweli wanatechnology inayotokana na kuiba invention za nje kwa mfano technology ya makombora wanacopy ya urusi hasa zile S300 SAM Missiles kama Kiwanda cha Jeshi Nyumbu TZ kikipewa fungu la kutosha research ya kuunda modern cars inafanyika na istoshe kuna magari na makombora yanazalishwa pale ispokua kwa kiasi kidogo sema waarabu wanajaribu kujicompare na westerners basi wanakesdha kutwa kupost mashindano
Wewe ndo ujifunze hapa iran ni persian gulf ambapo zamani walikua wanajulikana kama persian empire kwenye Mkutano wa Muungano wa Mataifa za Kiarabu uliokaa mwaka jana kumsimamisha Uanachama Syria kule Saudia Ahmadnejad Rais wa Iran alipingwa kwa hatua yake ya kuiunga mkono Syria sasa ataitwaje kwenye Muungano wa Nchi za Kiarabu kama yeye sio mwarabu.. nisije nikawa napoteza nguvu kuongelea critical issues kumbe mtu mwenyewe ata Morogoro hupajuiKwanza kajifunze wa Iran sio warabu, ukisha jua hapo ndo utajua mengine.
dogo wacha kujifanya unajua soma ili ujue, kukubali hujui sio kosa.Wewe ndo ujifunze hapa iran ni persian gulf ambapo zamani walikua wanajulikana kama persian empire kwenye Mkutano wa Muungano wa Mataifa za Kiarabu uliokaa mwaka jana kumsimamisha Uanachama Syria kule Saudia Ahmadnejad Rais wa Iran alipingwa kwa hatua yake ya kuiunga mkono Syria sasa ataitwaje kwenye Muungano wa Nchi za Kiarabu kama yeye sio mwarabu.. nisije nikawa napoteza nguvu kuongelea critical issues kumbe mtu mwenyewe ata Morogoro hupajui
afterall sidhani kama kuna mtu anajiamini kununua Gari kutoka iran, ni sawa na kununua nyumbu za Tanzania. Nadhani south africa unaweza kununua. jambo zuri ni kuwa iran inajitegemea kuhusu ufaransa kushuka hiyo sio ishu kwani wazungu hawakuendelea kwa kuwategemea waarabu wala waafrika, na pia bado iran kama nchi nyingine za uarabuni ina-imitate tu technolojia ya wazungu na haijaweza ku-invent ya kwake especially hata umbo la gari ni kama haya ya wazungu tu. nadhani hata sisi waafrika ni bora kuliko waarabu mara mia moja tena ikiwa sisi waafrika hatutakaa na kuwa washabiki wa kuburuzwa akili zetu, tamaduni zetu, utu wetu, imani zetu tunaweza kuwa hatari kuliko jamii yoyote duniani kwa technolojia kama walivyofanya waeshia. kama ni watu watakaokuwa hatari ni waeshia-(asia) kama wachina, wahindi, wakorea, wajapan lakini waarabu wale mwishowe wataishia kujilipua tu.:mvutaji:
Sentensi yako ya mwisho ndo nimekuelewa kwa nini hukupenda kuappreciate juhudi za Wairan !
Ni waarabu lakini wanajikweza na hawataki kuitwa waarabu wanajiita Persians. Mwarabu ni mwarabu tu awe from Persian gulf ama atoke Red Sea ama hata Benghazi bado ni mwarabuKwanza kajifunze wa Iran sio warabu, ukisha jua hapo ndo utajua mengine.
Hapo umenena mkuu!afterall sidhani kama kuna mtu anajiamini kununua Gari kutoka iran, ni sawa na kununua nyumbu za Tanzania. Nadhani south africa unaweza kununua. jambo zuri ni kuwa iran inajitegemea kuhusu ufaransa kushuka hiyo sio ishu kwani wazungu hawakuendelea kwa kuwategemea waarabu wala waafrika, na pia bado iran kama nchi nyingine za uarabuni ina-imitate tu technolojia ya wazungu na haijaweza ku-invent ya kwake especially hata umbo la gari ni kama haya ya wazungu tu. nadhani hata sisi waafrika ni bora kuliko waarabu mara mia moja tena ikiwa sisi waafrika hatutakaa na kuwa washabiki wa kuburuzwa akili zetu, tamaduni zetu, utu wetu, imani zetu tunaweza kuwa hatari kuliko jamii yoyote duniani kwa technolojia kama walivyofanya waeshia. kama ni watu watakaokuwa hatari ni waeshia-(asia) kama wachina, wahindi, wakorea, wajapan lakini waarabu wale mwishowe wataishia kujilipua tu.:mvutaji:
kwa Lugha ya JF tunaposema waarabu tuna maana nchi mwanachama wa OIC!Kwanza kajifunze wa Iran sio warabu, ukisha jua hapo ndo utajua mengine.
afterall sidhani kama kuna mtu anajiamini kununua Gari kutoka iran, ni sawa na kununua nyumbu za Tanzania. Nadhani south africa unaweza kununua. jambo zuri ni kuwa iran inajitegemea kuhusu ufaransa kushuka hiyo sio ishu kwani wazungu hawakuendelea kwa kuwategemea waarabu wala waafrika, na pia bado iran kama nchi nyingine za uarabuni ina-imitate tu technolojia ya wazungu na haijaweza ku-invent ya kwake especially hata umbo la gari ni kama haya ya wazungu tu. nadhani hata sisi waafrika ni bora kuliko waarabu mara mia moja tena ikiwa sisi waafrika hatutakaa na kuwa washabiki wa kuburuzwa akili zetu, tamaduni zetu, utu wetu, imani zetu tunaweza kuwa hatari kuliko jamii yoyote duniani kwa technolojia kama walivyofanya waeshia. kama ni watu watakaokuwa hatari ni waeshia-(asia) kama wachina, wahindi, wakorea, wajapan lakini waarabu wale mwishowe wataishia kujilipua tu.:mvutaji:
Eti sawa na nyumbu za tanzania! Usiwe boya.kwa taarifa yako tanzania hata toothpick tuna import hatutengenezi wenyewe!
sisi hatuaangalii hiyo migari ila tunataka pia technologia ya kilimo. Hawa jamaa ni ugali kwa bamia tuu, hawana lolote bali ni chuki na wivu kwa christian states and jews people.wewe ungenunue hilo gari halafu ulisifie ukiwa nalo na siyo kutuletea picha halafu unalisifia umbo! how old are theee?