Ukitaka kutajirika oa/olewa kabila hili...

unakomaa tu mwenyewe na kazi, mipango mikakati bilakumsaau Mungu, mambo ya kuoa longolongo tu.
 
naona sasa umefunga domo lako na wachagga eeee maana mapovu yamekwisha hata ukatae wewe ni kuumbe mdogona sawa na hauexists ni empty space kabisa maana hakuna anaeelewaa unachosema ni sawa na kula chapati na kuasume mchuzi ni maji ya bahari,wachaga ndio walioleta maendeleo mikoa yote ya tanzania na kuwafuta ujinga makabila mengine ,kwa hiyo ukimkataa mchaga kwenye ndoa utanunua dukani kwake ,ukikataa dukani kwake ,utapanga nyumba yake kwikwiwkwiwkwiwk nazi haishindani na jiwe

Ha ha haa wale wale! Katika majuha wewe ni juha namba 1.
 
bora mimi nimeoa mchaga sijui tutaanza kutajirika lini mwaka wa 7 sasa, daaha ngoja nisubiri kidogo.
 
mhhhhhh...mbona majanga, akili kumtwe abadnugu bwone...
 
Hii ndiyo shida ya kizazi cha dot com. Vijana wengi wa kipindi hiki wanatafuta urahisi wa maisha badala ya kuyatafuta wao.
 
naona sasa umefunga domo lako na wachagga eeee maana mapovu yamekwisha hata ukatae wewe ni kuumbe mdogona sawa na hauexists ni empty space kabisa maana hakuna anaeelewaa unachosema ni sawa na kula chapati na kuasume mchuzi ni maji ya bahari,wachaga ndio walioleta maendeleo mikoa yote ya tanzania na kuwafuta ujinga makabila mengine ,kwa hiyo ukimkataa mchaga kwenye ndoa utanunua dukani kwake ,ukikataa dukani kwake ,utapanga nyumba yake kwikwiwkwiwkwiwk nazi haishindani na jiwe
Hahahahhahahahahaha you made my day for real..... Thumbs up....!!!!
 
N

KUMBUKA: wasichana/wanaume wa makabila haya wana-software ambayo usipoi-accept na kui-run in your system utaambulia patupu. Pia weka control system maana akikuzidi akili ya biashara na ki-utawala utabaki kulaumu.
NB: mi nilimkimbia mmoja as kwangu maisha ni zaidi ya pesa!
Uchaguzi mwema!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Hapo pekundu sana ndo umeharibu mkuu.
 
Uwongo. ..mind controlled. ..
Big time. ..basic thinking 1+1

mwe.... waafrika pekee ambao hawapo mind controlled na wazung ni the bushman wa klahari desert huko. as long as unachapa keyboard wewe usijidanganye kuwa haupo controlled na wazungu. tulishawahiwa hilo halipingiki
 
Tuliwa control kwanza as civilization started in Africa. ..and it's going to end in Africa. ...that is my belief. ..
 
well hiyo kuja kuwa controll myt not happen in my life tym....
 
Back
Top Bottom