Ukitaka kumchunguza mwanaume

Ukitaka kumchunguza mwanaume

Mimi naona endeleeni mlipokutania. Msioane kwanza peaneni muda wa kujuana vizuri. Mwaka tu utajua unayopaswa kujua.

Maswali ya msingi muulize mfano kama ana watoto akikujibu kwa kukudanganya baadae itakuwa ngumu kwake.

Muulize pia kama alishawahi kuoa akaachana na mke wake. Kama ndio muulize kama waliachana kisheria?

Ila kikubwa mkapime yale magonjwa muhimu.
 
Tupo hatua ya mwisho mpnz tuna miaka 2 namfahamu kwa kumuuliza maswali tu na kunielezea kuhusu yeye

Na yeye sasa yupo tayari anataka ndoa ndio na Mimi nawaza hapa mambo ya msingi before hiyo ndoa
 
Chunguza tena nasema chunguza...

Sio Kila ukoo inafaa kuoa au kuolewa...

Chunguza kiroho na kimwili...

Namna ya kuchunguza

Kama simfahamu sijawah fika kwao siwajui rafiki zake… ndugu zake nawajua kwa picha tu

Kiufupi nataka namna ya kuanza kumchunguza naanzaje na Mimi na yeye tunaishi mikoa mbalimbali na hata mkoa aliopo sio kwao ni yupo kutafuta maisha tu
 
Ni mtu wa kabila gani?

Labda hapa ukijua utaweza kuuliza watu wa kabila lake..

Kuna wanasema kabila halina maana ila hawajui linamaana kubwa kwenye suala la kuingia agano la ndoa
 
Why mama?

Je nikiuluzwa kuhusu kumfahamu na familia yake si unajua lazima wazazi wawe sure mara nyingi lazima atauliza ukoo wake naufahamu ni watu wa namna gani na Mimi sina ABCD
Ahaa kama ndiokwanza mmeanza hapo yafaa umchunguze ili ujiridhishe!
Japo kuna vitu huwezi vijua kwa harakaharaka au pale mwanzo but as days goes ndio utavigundua!
 
Tafuta hela labda nitakufikiria
Mindset ya nyie wanawake kuweka mbele pesa, kuliko aina ya tabia ya mtu unaeolewa nae, ndo inawafanya wengi mumchague baraba kama mume na kumkataa Yesu (mume mwenye nia nzuri na nyie).

Mfano mzuri ni my late mother may she rest in peace alichagua baraba(baba yangu) na kumwacha mume mwema hali iliyopelekea afariki mapema mamamzungu
 
Usije kuweka mitihani ya kumpima.. binafsi nachukia sana kupimwa uaminifu wangu kwa kuwekewa vimitego uchwara.

Kuna mmoja nikamwambia kabisa wee nipime tu, nikianza mie kukupima usianze kulia lia.
 
Back
Top Bottom