Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,254
Ukitaka kuenjoy another point be yourself in any relationship dont try to be black while your white,and be free,
Mi hofu siku hizi nimekua sina kwa sababu wanaume ni walewale sa kwa hyo niishi kwa shida kisa atanimwaga cjui nini wala,yaani nilikuja kugundua unaweza ukajipa shida ukamtreat m2 kama mfalme malipo yake sasa du,so hofu zipo kwa watoto katika mapenzi Ruta,nachojua kama ni wangu ni wangu 2 hata niwe ka tembo halafu everything that happens happen for a reason,
Ukitaka kuenjoy another point be yourself in any relationship dont try to be black while your white,and be free,
sina hofu mie. Napenda najiachia nae. Kama hisia zake kwangu zimeisha si basi natafuta ustaarabu,na kwangu nikiwa simfeel tena namwambia ya nini kupotezeana muda. Maisha mafupi hofu ya nini wakati wote mmekutana na meno 32?
duh, kazi ipo.
hilo nila kweli waliowengi wanaishi kwa hofu hasa katika maisha ya mahusiano hii ni kutokana nakuwa waliowengi ni waongo...
Wapo wenye mikono safi.
Nachelea kukubaliana na wewe moja kwa moja maana najua wenye nayo ni watu wanaojitanbua hivyo wanajua yofauti yao na wale ambao sio kama wao. Ila inawezekana wapo ambao bado wanadanganyika kama sio kujidanganya.wenye nayo ni wachache mno na wengi wao ni wazito kuwahukumu wenzao.....................mara nyingi hufikiri jamii bado ni safi kama wao kwa hiyo hawana mashaka mashaka sana hadi pale yanapowakuta ndiyo hufumbuka macho......
Nachelea kukubaliana na wewe moja kwa moja maana najua wenye nayo ni watu wanaojitanbua hivyo wanajua yofauti yao na wale ambao sio kama wao. Ila inawezekana wapo ambao bado wanadanganyika kama sio kujidanganya.