eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,227
- 16,178
prpaganda za wasiopenda nchi yao na mtukufu rais wetu
Kwani aliekuambia uchumi ukikua ni kupandisha mishahara na sio kuwekeza nani?Ndugu zangu watanzania natanguliza shukrani zangu kwenu kwa kuendelea kuwa wavumilivu hasa kwa aina ya serikali tuliyonayo sasa
Kabla ya rais magufuli kuingia madarakani uchumi wetu ulikuwa unakuwa kwa asilimia karibu saba
Lakini miaka minne sasa akiwa madarakani kwa mujibu wa wanaofuatilia uchumi wa kila nchi duniani wanasema uchumi wetu kwa sasa unmeshuka mpaka asilimia NNE
Juzi kwenye siku ya wafanyakazi duniani rais magufuli alituthibitishia kuwa ni kweli uchumi umeshuka kwa kiwango cha lami, pale aliposema tena hawezi kuongeza mishahara kwa wafanyakazi wa serikali, ikiwa ni Mara ya NNE akisikika akisema hivyo toka aingie madarakani
Hivi kweli kama uchumi wetu unakuwa kwa asilimia 7 na zaidi, kama alivyosikika magufuli akisema anashindwa nini kuongeza mishahara kwa wafanyakazi wa serikali ???
Kamwe tusiongopewe watanzania kwamba eti miradi mikubwa ndio inasababisha mishahara isiongezwe,!! ina maana awamu hii tu ndio kuna miradi mikubwa???
Serikali inasema haiwezi kuwaambia wananchi ukweli wa uchumi wake,
basi ni rahisi tu kujua uchumi umeshuka kwa kushindwa kuongeza mishahara kwa miaka minne sasa
Serikali iache kutuongopea kwamba uchumi unakuwa kwa asilimia saba, huku ikishindwa kuwaongezea mishahara wafanyakazi wake
Hali hii ya uchumi inapelekea pia sekta binafsi kuzorota mno katika nchi na hili hakuna aseyelijua kwamba sekta binafsi zinakufa na zinaendelea kufa
Tuambieni ukweli ili tujue sio kutuongopea kulinda madaraka yenu
Shukrani mkuu, comment yako imenigusa sana....Yani kinachofanyika hapa ni sawa na baba kujenga ghorofa ,wakai mkeo na watoto wako wanalalia maharage.
Kwani harage siyo chakula?....Yani kinachofanyika hapa ni sawa na baba kujenga ghorofa ,wakai mkeo na watoto wako wanalalia maharage.
Ni chakula ila kama unajenga gorofa huwezi kula maharage kila siku lazima ubadilishe mbogaKwani harage siyo chakula?
Chukua hii fact Kaka.Ni chakula ila kama unajenga gorofa huwezi kula maharage kila siku lazima ubadilishe mboga
Mkuu we ni mmoja ya wale watu wasiojua wanaishi kwa sababu ganiChukua hii fact Kaka.
Hakuna kiongozi yeyote yule aliyepo wala atakayekuja ili akurahisishie maisha, never! Pambana pambana tu,chagua chagua tu!lakini huo ndiyo ukweli. Viongozi wetu wana matatizo lakini wananchi tuna matatizo zaidi. Hatujajua tunalolitaka.
Sent from my TECNO 7C using JamiiForums mobile app
prpaganda za wasiopenda nchi yao na mtukufu rais wetu
unakufuru au hujui dhana nzima ya uchumi. Endelea kujifunza tu!Chukua hii fact Kaka.
Hakuna kiongozi yeyote yule aliyepo wala atakayekuja ili akurahisishie maisha, never! Pambana pambana tu,chagua chagua tu!lakini huo ndiyo ukweli. Viongozi wetu wana matatizo lakini wananchi tuna matatizo zaidi. Hatujajua tunalolitaka.
Sent from my TECNO 7C using JamiiForums mobile app
Watu kama wewe ndio mmejaa hapa Tz na ndio chanzo cha matatizo,utakuta hata Mpira wewe unashabikua ligi ya nyumbani!Tunataka Tanzania ya Magufuli si ya marais waliopita.
........Yani kinachofanyika hapa ni sawa na baba kujenga ghorofa ,wakai mkeo na watoto wako wanalalia maharage.