Ukitaka Kujua tofauti kati ya Mchezaji anayecheza Soka la Kulipwa na Yule anayejitahidi tu Kucheza Soka la Kulipwa ni hii hapa....

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,571
108,921
Mchezaji Mbwana Samatta amerejea mara moja katika Klabu yake ya KRC Genk ya nchini Ubelgiji ili Kujiandaa na Mwanzo wa Msimu wa Ligi Kuu ya nchini humo.

Mchezaji Simon Msuba amerejea Kwanza Tanzania kuja Kula Madafu na Mihogo pamoja na Kupiga Misele Jijini Dar es Salaam huku akisubiri Kupigiwa Simu na Timu yake ya nchini Morocco kama arejee huko au basi Kibarua chake Kimeisha ili aombe Deiwaka katika Klabu yake ya Yanga ya nchini Tanzania.

Ikumbukwe kuwa Mbwana Samatta ametokea Klabu Bingwa ya Tanzania Simba Sports Club huku Simon Msuva akiwa ametokea Klabu mbovu na iliyo Masikini kwa sasa nchini Tanzania ya Yanga.

Nadhani tofauti mtaiona hapa.
 
Ikumbukwe kuwa Mbwana Samatta ametokea Klabu Bingwa ya Tanzania Simba Sports Club huku Simon Msuva akiwa ametokea Klabu mbovu na iliyo Masikini kwa sasa nchini Tanzania ya Yanga.
👍
 
Yani uliyeleta hii mada sijaelewa uelewa wako ukoje au unafanya kwa mihemko.
Kila timu ina ratiba yake ya kuripoti kabini
 
Ngojeni Moo aondoke mtaisoma. Tutawaandalia kapu maalumu hadi makanisani na mskitini ili mchangiwe.
 
Sis tunauzoefu wa kutosha kuomba omba kuomba omba tu matonya mchumba ww waache tu moo aondoke
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom