wapo wengi wanaopata mkanganyiko juu ya hali halisi ya uchumi Wa nchi yetu kama unapanda, umesimama au unadidimia. Hata Mimi nimewahi kiuliza maswali kama hayo nikawa sipati majibu sahihi kwani majibu niliyokuwa nikiyapata yalikuwa hayashabihiani na Yale yanayotolewa na mamlaka husika.
ili kuepuka mikanganyiko niliamua kuwa nafuatilia taarifa zinazotolewa na viongozi au wadau wenye mamlaka husika kwa kuwa wao ndio wanapokea taarifa za kila namna juu ya ukuaji Wa uchumi wetu.
Nikimsikiliza waziri mkuu nafarijika maana ananipa uhakika kuwa nchi inasonga mbele. nikiwasikiliza tra kwenye ripoti zao za kila mwezi hapo napo nafarijika, rais naye ndo usiseme, na wengine wengi.
kumbe uchumi wetu unakuwa: ccm oyeeeeeeeeeeeeeee. HAPA KAZI TU,