Ukitaka kujua tabia ya ndugu subiri aoe

Ukitaka kujua tabia ya ndugu subiri aoe

doppla2

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2014
Posts
1,391
Reaction score
1,458
Jamani kuishi kwingi kuona mengi.

Bro alikua bonge la mshua, ukirudi likizo akianza kukupa mipango ya baadae lazima upige saluti "hapa tuna jembe la ukoo".

Jamaa full optmistic, kila mchongo unaomshirikisha mpe siku kadhaa ngoma lazima itiki.

Kwenye majira kama haya ya sikukuu, yaani home full shangwe, mambo yakiwa hayaeleweki, utasikia mcheck bro mshua!!!

Sasa tangu alipooa, everything has fallen apart!!
Ukimpigia simu kuja kupokea ni mbinde
Yani ukimiss call, thubutu akikupigia.

Kifupi bro-mshua kachange ile mbaya ila kimtindo kama mashambulizi kaelekeza ukweni, kule mashemeji wote wanamuona bonge la King Mswati.

Wadau ebu tulidadavue hili, mbona mashujaa wengi wakishaoa ndo basi tena?

Wapi tunakosea ili ujifunze yasitukute na sisi?

Wazee wa sampuli hizi ,ukisikiaga ndugu wanakwambia umechange huwa unachukuaga hatua gani?

Regards.

Merry Christmas guys.
 
Haaaaaa ile kitu bro ina power alafu kuna wanaume wanabeba furaha za wake zao hata akiambiwa ale nyama ya mtu fresh
 
Kwa hili swala wanawake wanachangia kwa 80%, kama kapata mwanamke nae ndo anavutia kwao tu ukweni haangalii basi hapo ndugu mumsahau kabisa. Ila nawachukia sana wanawake wa hivyo.
Umegonga ndipo.
 
Haaaaaa ile kitu bro ina power alafu kuna wanaume wanabeba furaha za wake zao hata akiambiwa ale nyama ya mtu fresh
So keshapigwa kipapai au karishwa nyama ya kwenye K
 
Kwa hili swala wanawake wanachangia kwa 80%, kama kapata mwanamke nae ndo anavutia kwao tu ukweni haangalii basi hapo ndugu mumsahau kabisa. Ila nawachukia sana wanawake wa hivyo.
Thanks madam
 
Back
Top Bottom