huyo mwanamke full presha !!
ukiwa nae ni vema uwe na dawa za presha jirani ili kila anapoanza mipasho yake kazi yako inakuwa ni kunywa dawa tu hahahahahahahahahaaaa
huyo mwanaume nae ni --------,nae havae frana ilyoandikwa "nikiwa ndani wakwako nikitoka nje wawenzako" nyingine "hayo maneno tu hata kwenye kawa yapo".
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.