Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,254
utayaona ya filauni
huko ni kukwepa majukumuwengine wamepata kisingizio hapo utaona anamtel baby wake et "baby usiniambie tena nikuletee kuku si unaona..?"
dem nae akha! yahusu nini! hapa kazi tu..🙁🙁
mda mwengine lzm tukwepe maana na nyie mnadhani sisi ni ATM zinahesabu tu!huko ni kukwepa majukumu
muoga wewe....mda mwengine lzm tukwepe maana na nyie mnadhani sisi ni ATM zinahesabu tu!
siwaogopi nyie nauogopa umaskini!muoga wewe....
kama huna thema...thina bby...ataelewa tuusiwaogopi nyie nauogopa umaskini!
ha ha hahuku ni kujitetea pia![]()
![]()
![]()
achepuke..?kama huna thema...thina bby...ataelewa tuu