Ukistaajabu ya Mtatiro, utayaona ya Ben Saanane

Ukistaajabu ya Mtatiro, utayaona ya Ben Saanane

Mondoros

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2015
Posts
629
Reaction score
474
Mtatiro ambae ni mwenyekiti wa mapinduzi ndani ya chama cha CUF ametoa tamko la chama chake kwa hoja uchwara tisa, kwanza nianze kwa masikitiko yangu kwa hoja moja baada ya nyingine

1. Eti kauli za Rais hazina heshima ya hadhi ya urais na zinachochea chuki,,anamaanisha kuwa kitendo kinachofanywa na CUF Zanzibar kuchoma nyumba za watu, kuwakata wanachama wa CUF wasiwazike wanachama wa CCM yani kweli taifa linapasuliwa na kakikundi ka watu wachache kwa maslahi yao binafsi alafu rais wa nchi asikemee? Mtatiro haupo serious.

2. Eti serikalli ya CCM ya awamu ya tatu iliua wananchi Zanzibar. Mtatiro amesahau hata chanzo cha mgogoro wa kipindi hicho anaisingizia serikali ya CCM wakati Maalim Seif alikuwa anataka kuingia ikulu kwa kupitia damu za wananchi wa Zanzibar baada ya kushindwa vibaya kwene uchaguzi. Seif alikuwa anataka kuchukua serikali ya Zanzibar kwa mapinduzi ya uhasi. Sief aliwaandamanisha wanacuf nchi nzima tena aliwaambia wapambane na polisi si tu kwa silaha za jadi bali pia kwa kutumia silaha za moto(walizitoa wap?). Mtatiro anasema kwamba kuna watu waliuawa kwa siri,,je kama ni kwa siri amejuaje kama chama chake hakikuhusika na hayo mauaji?

3. Eti Dr. Shein si Rais halali wa Zanzibar. Hapa ndipo naanza kuona kuwa Mtatiro cheo cha mapinduzi kimeanza kumlevya. Utaratibu wa kupata viongozi katika nchi zote za kidemokrasia dunian kote unajulikana na mchakato mzima unajulikana. Uchaguzi anaouzungumzia bwana Mtatiro wa tarehe 25/10/2015 ulifutwa kutokana na udanganyifu uliofanya na mgombea wa CUF pamoja na yeye kujitangaza mshindi kinyume na taratibu za uchaguzi kitendo ambacho kingeleta machafuko nchini Zanzibar. Jecha alitumia busara za hali ya juu sana kulinda amani ya Zanzibar na kulinda haki ya kila mgombea na chama. Shein alishinda uchaguzi wa Machi 20,2016 kwa utaratibu wa kidemokrasia ambao CUF waligoma kushiriki.

4. Eti CUF haitambui serikali ya Shein. Wakat anasema serikali hawaitambui ila katibu mkuu wa CUF anaitambua na anachukua posho za umakamu wa kwanza wa Rais na anampelekea Shein makablasha ili amsainie mambo yake yaende sawa.

5. Eti CUF wanautambua uchaguzi uliofutwa. Namshangaa kuutambua uchaguzi ambao hata Maalim Seif mwenyewe hakutangazwa kuwa mshindi wa hicho kiti zaidi ya kujitangaza.

6. Eti stahiki za Maalim Seif zipo kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar na ya JMT. Natambua kuwa stahiki za wastaafu zipo kwa mujibu wa sheria na ni haki yao kuzipata ila si kwenye katiba ya muungano wala ya Zanzibar. Stahiki hizo zimewekwa bali zipo kwene sheria za utumishi wa umma na wala Rais Magufuli hakusema kuwa Seif asipewe haki zake kwa mujibu wa katiba bali alimwambia Shein kuwa amfanye Seif atambue umuhimu wa mkono wake kwenye kufanya mambo yake zaidi ya kutoa salamu. Kitendo cha Seif msibani kulikuwa kinaashiria chuki,na kuvunja umoja miongoni mwa wazanzibar.

7. Eti Magufuli anaamini kwene nguvu ya kijeshi. Mtatiro amesahau kuwa nchi yetu ni ya kidemokrasia na Magufuli aliingia madarakan kwa nguvu ya umma na pia anasahau wajibu wa jeshi katka kulinda amani pamoja na ushirikiano wa wanasiasa na vyombo vya dora ulipo kwenye kulinda amani ya nchi. Magufuli anaamini kwenye nguvu aliyonayo na aliyopewa kikatiba na kisheria na si kwa nguvu ya kijeshi kama unavosema.

8. Jecha kuhudhuria mkutano wa CCM. Mtatiro hajui kuwa Jecha ni mtumishi wa serikali na wala alikuwa haujui kuwa Magufuli anafanya ziara ya kiserikali Zanzibar. Kwa upotoshaji huu anaoufanya Mungu amrehem.

9. CUF ni chama kikubwa. Hapa naungana naye kabisa kuwa CUF ni chama kikubwa ingawa viongozi wake bado wana akili ya kitoto na wana uchu wa madaraka bila hata kujali ustawi wa wanachama wao na hao ndio wanaikwamisha CUF kufikia malengo yake ya msingi ya kushika dola.

[HASHTAG]#tamko[/HASHTAG] la CUF lililosomwa na Mtatiro was so unprofessional.

YA BWANA BEN SAANANE

Nimepitia bandiko la bwana Saanane nimekumbuka sana NDOTO ZA ABUNUASI. Nimeshtushwa sana nilipoona andiko la bwana Saanane ambae mara zote amekuwa ni role model wangu kwenye maandiko yake, ila hili la juzi limenifanya nifikirie zaidi ubongo wako umepatwa na nini?
 
Sasa naelewa kwanini watanzania tunaiogopa EAC ni kwa ajili ya akili kama hizi badala ya kujadili issues at hand we indulge ourselves at discussing people

Truth shall set you free
 
Ukiwa na mwanachma kama huyu sahau kufikia uchumi wa viwanda .....hata kuandika hawazi....haya utakumbukwa kwenye mgao wa vyeo......
 
Tuna safar ndefu sana ...yaani unataka tuamini ile ilikuwa ziara ya kiserikali? ...binafs ile haikuwa
 
Kwa kweli, saanane simkubali kabisa! Mtatiro namuheshimu sana, ila uandishi wako unaonyesha ndo kwanza unaanza jifunza haya mambo keep it up ipo siku naww utakuwa mtaalam wakutoa matamko
 
Hivi hawa wanaopata nafasi ya kuizungumzia nafasi ya raisi kwanini huwa hawaongelei taasisi zao kwanza ambazo tunaziona ziko kimabavu, kibzbaishaji na kimagumashi, ama ndo nyani kutokuliona kundule? na Kama wao wasivyopenda kukosolewa wanatakiwa kuelewa kwa asiri pia, hayuko mwanadamu anayetamani kukosolewa. Huyo Saanane kwanini asianze kuisafisha nyumba yake kabla ya kurukia kwingineko?
 
Naamini kabisa wapinzani sio wakamilifu lakini Ccm sio wakamilifu zaidi kuwazidi .
 
Wewe unatambua kabisa kuwa unaandaa andiko la page nyingi kama hili halafu unaandika hovyo na kupost tu bila kwanza kulifanyia editing ya kutosha ili usomeke na kueleweka kirahisi!!

Chukua hatua, rekebisha hayo makosa ya kiundishi kwanza haraka ili tuanze mjadala.....
 
Wanadhalilisha wasomi wa chuo kikuu,asikuumize kichwa ni mvuta bangili maarufu!
 
Na wewe sasa hapa ndo umeandika nini,ebu rudia kusoma tena....
 
Ni marufuku kujiingiza kwenye masuala ya kisiasa wakati wewe si mwanasiasa
 
Mtatiro ambae ni mwenyekiti wa mapinduz ndani ya chama cha cuf ametoa tamko la chama chake kwa hoja uchwara tisa,,kwanza nianze kwa masikitiko yangu kwa hoja moja baada ya nyingine

1.Eti kauli za Rais hazina heshima ya hadhi ya urais na zinachochea chuki,,anamaanisha kuwa kitendo kinachofanywa na cuf zanzibar kuchoma nyumba za watu,kuwakata wanachama wa cuf wasiwazike wanachama wa ccm yan kweli taifa linapasuliwa na kakikubdi ka watu wachache kwa maslah yao binafsi afu rais wa nchi asikemee???,,mtatzo haupo serious

2.Eti serikalli ya ccm ya awamu ya tatu iliuua wananchi zanzibar,,Mtatiro amesahau hata chanzo cha mgogoro wa kipind hicho anaisingizia serikali ya ccm wakat maalim seif alikuwa anataka kuingia ikulu kwa kupitia damu za wananchi wa zanzibar baada ya kushindwa vibaya kwene uchaguzi,,sefu alikuwa anataka kuchukua serikali ya zanzibar kwa mapinduzi ya uhasi,,sefu aliwaandamanisha wanacuf nchi nzima tena aliwaambia wapambane na polisi si tu kwa silaha za jadi bali pia kwa kutumia silaha za moto(walizitoa wap?),Mtatiro anasema kwamba kuna watu waliuawa kwa siri,,je kama ni kwa siri amejuaje kama chama chake hakikuhusika na hayo mauaji??

3.Eti Dr shein si rais halali wa zanzibar,,Hapa ndipo naanza kuona kuwa mtatro cheo cha mapinduz kimeanza kumlevya,,,utaratibu wa kupata viongozi katka nchi zote za kidemokrasia dunian kote unajulikana na mchakato mzima unajulikana,,,uchaguzi anaouzungumzia bwana mtatiro wa tarehe 25/10/2015 ulifutwa kutokana na udanganyifu uliofanya na mgombea wa cuf pamoja na yeye kujitangaza mshindi kinyume na taratibu za uchaguzi kitendo ambacho kingeleta machafuko nchini zanzibar,,Jecha alitumia buisara za hali ya juu sana kulinda amani ya zanzibar na kulinda haki ya kila mgombea na chama,,shein alishinda uchaguz wa machi 20,2016 kwa utaratibu wa kidemokrasia ambao chama cuf waligoma kushiriki,,,

4.Eti CUF haitambui serikali ya Shein,,,wakat anasema serikali hawaitambui ila katibu mkuu wa cuf anaitambua na anachukua posho za umakamun wa kwanza wa rais na anampelekea shein makablasha ili amsainie mambo yake yaende sawa

5.Etii cuf wanautambua uchaguzi uliofutwa,,,namshangaa kuutambua uchaguzi ambao hata maalim seif mwenyewe hakutangazwa kuwa mshindi wa hicho kiti zaid ya kujitangaza

6.Eti stahiki za maalim seif zipo kwa mujib wa katba ya zanzibar na ya JMT,,,natambua kuwa stahiki za wastaafu zipo kwa mujibu wa sheria na ni haki yao kuzipata ila si kwene katba ya muungano wala ya zanzibar stahiki hizo zimewekwa bali zipo kwene sheria za utumishi wa umma,,,na wala rais magufuli hakusema kuwa seif asipewe haki zake kwa mujibu wa katba bali alimwambia shein kuwa amfanye seif atambue umuhim wa mkono wake kwene kufanya mambo yake zaid ya kutoa salamu,,kitendo cha seif msibani kulikuwa kinashiria chuki,na kuvunja umoja miongon mwa wazanzibar,,,

7. Eti magufuli anaamini kwene nguvu ya kijeshi,,,Mtatiro amesahau kuwa nchi yetu ni ya kidemokrasia na magufuli aliingia madarakan kwa nguvu ya umma na pia anasahau wajibu wa jeshi katka kulinda aman pamoja na ushirikiano wa wanasiasa na vyombo vya dora ulipo kwene kulinda aman ya nchi,,,Magufuli anaamin kwene nguvu aliyonayo na aliyopewa kikatiba na kisheria na si kwa nguvu ya kijeshi kama unavosema

8. jecha kuhudhuria mkutano wa ccm,,,Mtatro hajui kuwa jecha ni mtumishi wa serikali na wala alikuwa haujui kuwa magufuli anafanya ziara ya kiserikali zanzibar....kwa upotoshaji huu anaoufanya Mungu amrehem,,,,

9.cuf ni chama kikubwa,,,hapa naungana nae kabsa kuwa cuf ni chama kikubwa ingawa viongoz wake bado wanaakili ya kitoto na wanauchu wa madaraka bila hata kujali ustawi wa wanachama wao na hao ndio wanaikwamisha cuf kufikia malengo yake ya msingi ya kushika dola

[HASHTAG]#tamko[/HASHTAG] la cuf lililosomwa na Mtatiro was so unprofessional

YA BWANA BEN SAANANE

Nimepitia bandiko la bwana saanane nimekumbuka sana NDOTO ZA ABUNUASI,,,nimeshtushwa sana nilipoona andiko la bwana saanane ambae marazote amekuwa ni role model wangu kwene maandiko yake,,ila hili la juzi limenifanya nifikirie zaid ubongo wako umepatwa na nn??



Huwa mnaandika huku mmepaniki au ni kinakusibu, kaa, tafakari, fikiri ndio shusha nondo ya kueleweka
 
1 Eti
2Eti
3Eti
4Eti
5Eti
6Eti.
Unamaana gani na izo eti eti zako?

kuna kipindi inabidi ukubali tu kuwa hauwezi kuanzisha uzi inabidi ubaki tu kuwa mchangiaji haiwezi kukuondolea kuwa member wa Jf.
 
yataka moyo wa ziada na akili tofauti na hii alopewa mwanadamu, kusifia jambo la kipuumbaavu na kupuuza jambo la maana!!
 
Ebu namba nne weka mstaafu mimi Magufuli ni role model wangu kwenye utumbuaji na usafishaji pasipo uonevu ili la kudeal na vyama na demkrasia litamfanya afeli mapema, ccm kama inaogopa kumshauri wazee wa chama waandae shughuli wamwalike yeye, wamtafute mzee makamba wampe hata milioni kadhaa wamweke mmoja wa wachangiaji then muone vitasa vya kimwambao na vyenye mafunzo atakavyompa, jamaa ataishia kucheka lakini sms itakuwa send
 
Ama kwa hakika Taasisi ya Urais ya awamu hii ina rekodi ya kuandamwa na aibu. Hii inatokana na tabia ya uropokaji inayofanywa na mkuu wetu wa kaya. Hongera Mtatiro, hongera Ben wa Saanane kwa kuusema ukweli pasi kupepesa macho wala kutikisa masikio.
 
Back
Top Bottom