Ukisikiliza hii clip ya Halima Mdee unaweza kukata tamaa

Ninamshukuru kwa kujikita kwenye hoja pamoja na kwamba talk is cheap!

Mafanikio ya malengo ni zaidi ya kuongea ongea.

Kama kuongea ingekuwa ni kutenda basi BAWACHA aliyoikuta ingekuwa tofauti na BAWACHA ya leo.

Kwa mfano kwa sasa yeye ni mwenyekiti wa BAWACHA, ukimuuliza amefanya nini mpaka sasa kuibadilisha BAWACHA hatapata jibu sahihi kwa sababu BAWACHA ile aliyoikuta haina tofauti na BAWACHA ya sasa.

Ninafahamu nikiuliza mafanikio ya ubunge wake atasema yeye sio serikali.

Mafanikio hayapimwi kwa kuongea sana na kujua kuongea sana sio kipimo cha mafanikio katika kutenda.
 
Clip teyari sikiliza sasa.
Nimeishaisikiliza mara mbili.
Malalamiko mengi sana na kutaka CCM ionekane haifai.
Lakini Hasemi yeye anataka nini kifanyike kwa source ipi ya income.
Mfano Kupima ardhi nchi nzima sio suala la kukurupuka ni mpango unaohitaji Mabillioni na sio siku moja. Atoe flame work ya kufanya hilo.
Kama muwakilishi wa wananchi, alipaswa pia kushukuru kwa kupunguizwa kwa tozo mbalimbali kama initiative nzuri maana ndicho ambacho wakulima walilwahi kulalamikia hapo nyuma.
Anaposema kwamba hakuna Mashine za kuchambua pamba, Kila mtanzania mwenye uwezo ameombwa kuwekeza katika viwanda. Hata yeye mbunge anaweza kuwekeza kwenye hilo gap.
Anasema Budget ilikuwa 101Bil na iilyotolewa ni 3.3Bil sawa na 3.2% na ukifuatilia karibu budget zote huwa hazitoshi, yeye anashauri nini kifanyike budget zitoshe ili tuone Hivyo anavyovitaka sio kutulalamikia tuliomtuma humo kufanya hiyo kazi.

Kama tumegundua budget huwa haitoshi, Je kuna mbinu gani nyingine halali ambazo ni cost saving ambazo tunaweza kusaidia kukuza kilimo wakati tunaendelea kutafuta fursa zinazowezekana.

Muwakilishi wa Wananchi Sio Muwakilishi wa malalamiko.
Alipaswa kumalizia kwa kusema sisi Chadema tunashauri mfanye hivi hivi kwa fund hii na ile...
Tusubiri majibu ya serikali nayo uyaweke ili tupime na kujadili vizuri maana naamini vyote alivyotoa vinamajibu au maelezo yake kutoka kwa aliokuwa anawahoji. Hapo tutakuwa na uwanja mzuri wa kkuona wapi ni wapi na tatizo liko wapi
 
Naomba tumsikilize ni clip ya dakika 10 tu.



Ni clip ambayo aliongea Bungeni katika kuchangia mjadala wa Bajeti ya kiliimo.

Hii nchi sijui kama tunajua ni nini kinapswa kuwa kipaumbele chetu kikuu na kwakweli sijui tunaelekea wapi!!


Tuna laana ya kuchagua wehu kutuongoza, sasa sijui na sisi ni wehu!!

mijitu inachaguliwa badala ya kufanya vitu vya msingi imekalia kupiga mikwara wananchi kwenye media.

Wanakuta hela hazina wanakusanya wanaenda kununua midege kwa mpigo kwa CASH.
 
Back
Top Bottom