Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 30,837
- 59,508
miaka 50 ya uhuru....bado tunasonga!
Uhuru usio wa kifkra, na bado tunasonga.
miaka 50 ya uhuru....bado tunasonga!
Hiyo sample yako moja uliyoiokoteza gizani ndio umetujumuisha wote??? Hebu njoo kona nikuonyeshe,halafu urudi hapa usawazishe usemi wako.
Kwa hiyo unatuma ujumbe gani hapa? kua umeanza uhusiano na dada wetu wa JF?
hehehe mia
Haya blackberi umejibiwa thread yako.
Mbuta.
maskini umechagua koroma la wanawake wa jf
anyway, mbona kasema hata wewe huutumii ushauri wa wanamme wa jf?
Eti ulikonsetrati na kupiga 18 wakati yeye hata kamoja bado
he he he, lako hilo usipoangalia watakurowesha
Haya blackberi umejibiwa thread yako.
Mbuta.
Labda inawezekana!Mpaka mtu kasema ana lake!Sasa mtu unashughulika mwenzio anakuambia "fanya fasta nataka nikachangie kwenye siredi yangu JF" unafikiri utajisikiaje?
Wanapigaga porojo tu hawajui hata moja,yaani mapenzi yao wanafanyia mdomoni tu.
Lol.... Eiyer!!!
Humu karibu kila mtu ni mtaalam, mtakatifu, na kadhalika.
hehehe Hapa ukilopokwa mchumba anakimbia, acha niuchune tu, hakuna cha u lawyer wala ujaji. hili salaba atalibeba mzee wa mia peke yake.
Nitarudi hapa,....
Watu wengine mna matatizo kweli...
Ukiona hivo ujue mzazi kakumind, akifafanua zaidi unachukua kiulaiiini. Miafafanua kidogo mkuu. mia
miaka 50 ya uhuru....bado tunasonga!
hehehe Hapa ukilopokwa mchumba anakimbia, acha niuchune tu, hakuna cha u lawyer wala ujaji. hili salaba atalibeba mzee wa mia peke yake.
mbulaaaa
hahaa Kloro bana mchanga moto mchanga baridi...kila mtu anabeba Msalaba wake