ukisikia ushauri na maneno ya kimapenzi ya wanawake wa jf utasema hawa ndo watalaam kumbe...

Kwa hiyo unatuma ujumbe gani hapa? kua umeanza uhusiano na dada wetu wa JF?

Mkuu kuwa na uhusiano na dada humu kitu cha kawaida. hadi watu wameoana. ukiwa na mwandani wako humu ni yeba mbona raha? Mia
 
Haya blackberi umejibiwa thread yako.
Mbuta.

sio Mimi tu, wapo na marafiki zangu humu wana lalamika kama mimi. hapa simjibu mtu wala nini. Nataka mambo ya kutojituma na kutaka mtu ufanyiwe kila kitu yaondoke na mwaka 2011. Mia
 
maskini umechagua koroma la wanawake wa jf
anyway, mbona kasema hata wewe huutumii ushauri wa wanamme wa jf?
Eti ulikonsetrati na kupiga 18 wakati yeye hata kamoja bado

he he he, lako hilo usipoangalia watakurowesha

18 huwezi fika coz baadhi yenu mnakatisha tamaa. mapenzi hayana usharomalo. amsha hisia za mwenzako. sasa mwingine hata kile kilio cha mahaba hadi afundishwe. Mtu anakaa kimya hadi unamuuliza vipi umesinzia? hahaaaa...!!. Mia
 
Labda inawezekana!Mpaka mtu kasema ana lake!Sasa mtu unashughulika mwenzio anakuambia "fanya fasta nataka nikachangie kwenye siredi yangu JF" unafikiri utajisikiaje?

hahahaaaa...!!umeona eeh!? Mkuu umeua. anakuambia "fanya haraka haraka nataka nikaongee na ratifa". Ukimsema kidog tu atanuna hapo!. Mia
 
hehehe Hapa ukilopokwa mchumba anakimbia, acha niuchune tu, hakuna cha u lawyer wala ujaji. hili salaba atalibeba mzee wa mia peke yake.

naandika kwa step na step. bahati nzuri sijamtaja mtu japo kuwa mtaka chuki hakosi sababu. Mbona wao wanapo andika kwa mafumbo tunauchuna?. Mia
 
Back
Top Bottom