leo dada JF-Expert Member Joined Oct 26, 2023 Posts 4,167 Reaction score 20,649 Jan 4, 2026 #21 MD FARMS said: Bado samia ajiandae tena yeye dakika 30 tu zitatosha kumaliza mchezo!. Click to expand... Hizo dakika ni nyingi mnooo.... Huku watatumia dakika 10 na sekunde tano
MD FARMS said: Bado samia ajiandae tena yeye dakika 30 tu zitatosha kumaliza mchezo!. Click to expand... Hizo dakika ni nyingi mnooo.... Huku watatumia dakika 10 na sekunde tano
MD SPECIAL JF-Expert Member Joined Jul 4, 2025 Posts 1,161 Reaction score 2,812 Jan 4, 2026 #22 leo dada said: Hizo dakika ni nyingi mnooo.... Huku watatumia dakika 10 na sekunde tano Click to expand... hahahah! Sipati picha huko alikojificha mapigo ya moyo yanavoenda kasi.
leo dada said: Hizo dakika ni nyingi mnooo.... Huku watatumia dakika 10 na sekunde tano Click to expand... hahahah! Sipati picha huko alikojificha mapigo ya moyo yanavoenda kasi.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,903 Reaction score 197,473 Jan 4, 2026 #23 Ngoja wanyoshane kidogo... Nadhani jeshi la Venezulea pia halikua upande wa serikali yao ndiyo maana mission ya Marekani imefanikiwa ndani ya masaa machache... Cc: Mahondaw
Ngoja wanyoshane kidogo... Nadhani jeshi la Venezulea pia halikua upande wa serikali yao ndiyo maana mission ya Marekani imefanikiwa ndani ya masaa machache... Cc: Mahondaw
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,903 Reaction score 197,473 Jan 4, 2026 #24 Jeshi la Venezuela halipo upande wa serikali yao... Cc: Mahondaw
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 75,524 Reaction score 185,666 Jan 4, 2026 #25 Smart911 said: Jeshi la Venezuela halipo upande wa serikali yao... Cc: Mahondaw Click to expand... Kwanini sasa??? Hawataki uchinga ama???
Smart911 said: Jeshi la Venezuela halipo upande wa serikali yao... Cc: Mahondaw Click to expand... Kwanini sasa??? Hawataki uchinga ama???