Ukisikia mwanamke anakuambia thanks for caring ....

Ukisikia mwanamke anakuambia thanks for caring ....

ukisikia hilo neno jua:
1- umewakana ndugu zako na unamtimizia yeye na nduguze
2- unachunwa kirahisi than wanaume wenzako
3 - anakupush uingie mfukoni zaidi
4--umeshakuwa fala wake

jiulize yeye anacare kwakukupa nini? usanii mkubwa
Me naenda zangu Zimbabwe..
Nitakuja kusoma replies nikirudi,
Wish for me bon voyage...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Why don't I thank you for caring about me??? yes you care for me as your queen and I always thank you for this. Others hawapati hata hizo care wanazitamani sana am blessed to have those lazima nishukuru na Mungu akubariki mara elfuuuuuuuuuu .

You care for me kwenye mambo mengi sana Smart911 nikianza kulist hapa nitakesha na kamwe sitochoka kusema thank you for caring

Mahondaw wa Smart911
Ndo mana jamaa kayasema yote hayo kwenye thredi.
Hayo huwezi sema iwapo hakupi hela, au jamaa kuwa fala.
 
Ndo mana jamaa kayasema yote hayo kwenye thredi.
Hayo huwezi sema iwapo hakupi hela, au jamaa kuwa fala.

Mahusiano is not only about money...Kuna vitu vingi vinavoenda sambamba ambavo ukivipata automatic mwenyewe unafurahi na nafsi yako

Mahondaw wa Smart911
 
Uongo uliotukukuka labda wewe unakutana na mashangingi nijuavyo mimi mwanamke lazima uwe na shukurani pale unapomuona mwenzio anajitahidi kukuonesha upendo kadri uwezavyo huwezi huwezi furahia kuona mwenzio haelewani na nduguze otherwise utakuwa shetani kabisa sii bure
 
===
Mwanamke mwenye shukrani ni Mama Mzazi tu. wengine wote ni mataperi including dada zangu
 
Back
Top Bottom