Ukisikia mwanamke anakuambia thanks for caring ....

Ukisikia mwanamke anakuambia thanks for caring ....

Why don't I thank you for caring about me??? yes you care for me as your queen and I always thank you for this. Others hawapati hata hizo care wanazitamani sana am blessed to have those lazima nishukuru na Mungu akubariki mara elfuuuuuuuuuu .

You care for me kwenye mambo mengi sana Smart911 nikianza kulist hapa nitakesha na kamwe sitochoka kusema thank you for caring

Mahondaw wa Smart911
Ndo tayar huyo kashatekwa mbn husem ukianza kulist unavyomfanyia hutamaliza ila anavokufanyia wewe ndo haviwez isha eti

truth=freedom
 
Mapenz Ulaya,Africa biashara.Kwa hapa kwe2 Bongo ukimwambia mwanamke "nakupenda" ghafla anataka a-take advantage so,akitaka kukuchomoa ngawira ni lazma akuingilie kwa swagga Kali kama hzo,maaaamaye!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo tayar huyo kashatekwa mbn husem ukianza kulist unavyomfanyia hutamaliza ila anavokufanyia wewe ndo haviwez isha eti

truth=freedom

He's self contained hakuna kitu cha kutoka kwangu nitakachoweza kumlipa zaidi ya pendo langu la dhati
He needs nothing than my real love for him,, being there all the time as a wife material performing my duties of a wife. Good one( wife)

Kama mkewe nami namfanyia vingi mnoo mnoo. Kaa ukijua there are some things that money can't buy.

Mahondaw wa Smart911
 
ukisikia hilo neno jua:
1- umewakana ndugu zako na unamtimizia yeye na nduguze
2- unachunwa kirahisi than wanaume wenzako
3 - anakupush uingie mfukoni zaidi
4--umeshakuwa fala wake

jiulize yeye anacare kwakukupa nini? usanii mkubwa

Sidhani kama ni kweli saaana kwani kuna wakati mwanamke anaweza hitaji msaada wa jambo fulani na kusiwepo mtu wakumpa sasa ikitokea ukajua tatizo lake kisha ukajitolea kumsaidia in return akakwambia thanks for caring je hapo hizo point zako hapo juu zitakuwa zina apply kweli?
 
tulia sindano zikuingie

Bomi kabisa unachoshabikia... ndoto za abunuasi hizo.. inabidi ujitafakari kuwa unakasoro gani hadi ufikirie hayo.. inaelekea hujitambui kabisa na wanakukimbia ukiwa ulivyo na unatukia maneno hayo kwa wanawake yanatokea hayo uliyoandika.. umeishia kuja huku kugeuza kibao.. eeeeeh
 
Hiki ni kipindi cha mpito mengi tu yatakuja.... ..

[emoji252]You get what you work for not What you wish for [emoji252]
 
Uzuri wa ulaya wanaume tunachuna wanawake siyo kwa swaga tu bali kujituma kugegeda
 
He's self contained hakuna kitu cha kutoka kwangu nitakachoweza kumlipa zaidi ya pendo langu la dhati
He needs nothing than my real love for him,, being there all the time as a wife material performing my duties of a wife. Good one( wife)

Kama mkewe nami namfanyia vingi mnoo mnoo. Kaa ukijua there are some things that money can't buy.

Mahondaw wa Smart911
True mahondaw wangu... Money cant buy everything...
Somethings needs a lovable heart like yours super dear...
 
Why don't I thank you for caring about me??? yes you care for me as your queen and I always thank you for this. Others hawapati hata hizo care wanazitamani sana am blessed to have those lazima nishukuru na Mungu akubariki mara elfuuuuuuuuuu .

You care for me kwenye mambo mengi sana Smart911 nikianza kulist hapa nitakesha na kamwe sitochoka kusema thank you for caring

Mahondaw wa Smart911
They wont understand mahondaw wangu...

Na wanaume wengi wanaolalamikia wanawake hivi, wanawake vile, wao ndiyo chanzo cha hao wanawake kuwa hivyo...

Ila binadamu hatuna shukurani.. Tukishukuriwa tunalalamika, tukikaushiwa tunaona tunadharauliwa...

# Umasikini mbaya sana #
# Umsikini wa fikra ni hatari zaidi #
 
Back
Top Bottom