Oi kuna jamaa anauza Mia 310 unaweza kushuka nae ukitaka nakupa namba yake sema mm nipo sua moro jamaa yupo hapo town fundi computer sina njaa ya cha juu ushindwe ww.

Kesho nikiota pindi nitapitia ofisini kwake maana no yake ilikua kwenye laini nyingine ambayo nimebadilisha juzi tu sema Sioni nilipoiweka sema usikonde mkuu.