Ukisikia kupatwa ndo huku..

Ukisikia kupatwa ndo huku..

Ww si umesema ulimpenda, ulidhan bado bik..ra, bora huyo mkwel wenda akatulia na kuamua kubadilika coz maisha kashayaona.komaa nae
 
Hahaha ukome..ndo kashajiongeza hivyo hana pa kwenda!ebu sahau historia yake ya nyuma anzishen maisha mapya kwa raha zenu..hamna kukwepa hapo hahaha.
Bata ni mtamu ila ukiambiwa huyu bata kbla hajachinjwa, jana alikuwa anaogelea kweny shimo la maji machafu, na leo alikula kinyesi cha binadamu lazima hamu iishe tu na hata ukimla utakula kwa shingo upande tu.
Utajisikiaje ukiambiwa huu mchicha ulipandwa nyuma ya bafu na walikuwa wanatumia maji ya bafuni. Je, utakuwa na hamu ya kula?
 
Hapo juzi kati nlipata manzi flani hivii nkampendaa sanaa aisee...huyu manzi anaishi na dada akee sasa baada ya dada ake kuona nipo naee akaamua kumpiga manzi akatoroka akaja getoo... Sasa si ndo akanambia etii nimfanyie mpango afanye hata biashara hivii akati me Halii mbaya... Manzi mkali sana sema story zake ndo zimenikatisha tamaa kabisa.. Haogopi kunambia ashawahi toa mimbaa..wanaume kibao... Maraa mambo ya club...sijui kunywa pombee yanii hapaa natafutaa namna aondoke geto nakosaa maana kajaa na begi lakee kabisaa..!! USHAURI JAMANI NIMTOSE VIPI MAANA DAAH...SIWEZII AISEE NIMEPATIKANAA
[emoji3] [emoji3] [emoji3] Aisee!
 
Huyo ndiye mke mwema katoka kwa mungu mpende mtunze maisha yako yote
 
Yanii hataki kurudi kwa dadaa akee kabisaa anatakaa akaee na mimi..!! Kuhusu kazi nimemwambia nitamsaidia kupata lakini aende kusubiria kwa dada akee naona hataki hataa...
 
Mwombe tigo akikataa iwe tiketi ya kuondoka na pia akikubali iwe tiketi yakuondoka pia....
 
Upendo hauhesabu makosa.
Anzeni upya umbadilishe tabia kama unadhani ilikua mbaya.
 
Back
Top Bottom