Ukisikia kupatwa ndo huku..

Ukisikia kupatwa ndo huku..

We ulimchukua wa nini, tatizo vijana siku hizi kutongoza tabu demu wa kuruka tu kutoa uchupa unaonhea mengi, unamwaga sera, falsafa kibao.. Haya yote yasingekukuta kama toka awali ushamuelewesha kuwa unamuhitaji kwa ajili ya kuchangamsha vikojoleo vyeju tuu.
Aaha kiukweli mwanzo nlimpenda na kudata naee sanaa ila daah...!! Kwa sasa siwezi
 
Umetoroka facebook bila shaka.maana kwa wanaume wa JF hilo tatizo lako kwao sio ishu kabisa na wala wasingekuja na thread kama yako ya kulia.mfano wa thread ambayo ungeikuta kutoka mwanaume wa JF in relation to your case ni hii
* nimesusiwa demu ghetto,Mimi najipigia tu* au ingekuwa hivi
* news alert : nimeokota dodo mchagani*
 
Hapaa natakaa nimpige kiswahilii akisepaa nfo jumlaa..!! Manzi mkalii takooo hiloo ilaa nimegundua hakuma kitu kabisaa
Vp unatumia smartphone ya shem wetu nn naona uandishi wa hovyo hovyo tu!!
 
Sasa kosa lake alilolifanya ni kwenda club, kuwa na wanaume,kutoa mimba( vyote kipindi cha nyuma) au kosa lake ni kukuambia mambo yake ya nyuma.Au kosa lake ni kuja( kuamia geto kwako na kuomba ela ya biashara)?
Kuniambia mambo yake ya nyumaaa...
 
Umetoroka facebook bila shaka.maana kwa wanaume wa JF hilo tatizo lako kwao sio ishu kabisa na wala wasingekuja na thread kama yako ya kulia.mfano wa thread ambayo ungeikuta kutoka mwanaume wa JF in relation to your case ni hii
* nimesusiwa demu ghetto,Mimi najipigia tu* au ingekuwa hivi
* news alert : nimeokota dodo mchagani*
Nimekulaa sasa nimeshibaa ndo akili zimenijiaa
 
Back
Top Bottom