Ukishindwa maisha Dar hutoweza popote

Ukishindwa maisha Dar hutoweza popote

Michael Ngusa

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2014
Posts
1,637
Reaction score
463
Wikendi hii nilipendeza kwa buku 10 tu: kiatu kipya cha kiofisi=3500 tshs pale Kariakoo ( Wajanja mnavijua ), nikapigilia na suruali ya 1500 tshs, shati=2000 tshs, saa ya buku 2 na mkanda wa buku.

Nimepiga zangu kiwi na pasi, nikiingia mahali naonekana nadhifu sana mpaka unaskia raha.

Jamani maisha Dar ni hesabu kidogo tu na pesa iko nje, ukishindwa maisha Dar kwingine utachemka nakwambia.
 
Kiatu gani cha elfu tatu bwanaa...Labda vile vilivyopakwa dye nyeusi na vilikuwa vyeupe...Anyway labda unaongelea yeboyebo maana na navyo pia ni viatu
 
umesahau 0[sifuri] moja kwenye hizo bei?? tena mtumbani!
 
Mhh kiatu cha 3500 mkuu hapo umetuacha na hivo vingine tungeomba utupie picha nasi tukanunue kama hivyo
 
Kwa hiyo kuvaa mitumba ndo kuyaweza maisha ya Dar?

No wonder Prof.Kikwete ambaye ni mchumi anaamini foleni ni indicator ya maendeleo.

Kazi kweli yaani wewe kuvaa mitumba unajiona mjanja kwelii.

Kwa hiyo hata soksi na boksa ulitupia kafa ulaya?
 
Duh hicho kiatu cha 3,500/= kikoje unaweza kutupia picha tafadhali.
Kitakuwa cha mtumba. Unajua Dar kila mteja ana bei yake. Ukienda wewe utapigwa hadi 35,000/:sleepy:
images
 
Kitakuwa cha mtumba. Unajua Dar kila mteja ana bei yake. Ukienda wewe utapigwa hadi 35,000/:sleepy:
images
Hichi kikali kitanifaa sana kwa kuangalia ngoma za kizaramo , nakaa nyuma kabisa namwona mwali bila shida wala malalamiko ya uandunje
 
Pia ukiwa na buku utapata vichwa vya kuku,supu ya pweza au utumbo wa kuku,chakula cha usiku saaaafiiii
 

Attachments

  • 1436191737697.jpg
    1436191737697.jpg
    9.2 KB · Views: 539
Kila mtu anajua jinsi gani anaishi huku Dar ndo maana Bar nyingi maana watu hawataki onekana nyumba wanayoingia....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom