Mhhhhhhhh yasingekuwepo na wewe usingekuwepoMapenzi natamani yasingekuwepo yanauzi sana
hapo red umenikumbusha zile barua zetu za praimari. Asante mpenzi
Hapo buluu itabidi tukomae tu, kiama chenyewe kimehairishwa! tutafanyaje unadhani.
hii topik inahusu nini vile?? dagaa??
Nina dume langu dume, kila siku makelele, likitaka kunipiga, lazima linivute manywele, nami nalibembeleza, kwa kulipikia mchele:tape::tape::kev:hahahahahah Nyamayao unanifurahisha? akili robo kijiko ndio nini tena? kwa hiyo sasahivi uko juu mbaya.
IF YOU DO ME ....I DO YOU!!!
aisee....:A S-frusty:Kinda...but mostly kwanini wababa wazima wadeke kama watoto?!