Sumba-Wanga
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 5,353
- 1,236
........shikamana!
Baada ya jambo fulani jana nilijikuta nafikiria kuhusu watu wanavyoBEHAVE kwenye mahusiano.Wengine utakuta wanaendekeza KIBURI...wengine KUDEKA...wengine KULALAMIKA...n.k
Vyote hivi vikizidi kwakweli vinaweza kuvunja mahusiano maana INABOA/CHOSHA...kuna mtu unakuta hata akikosea yeye samahani mwiko.Hata ukimuwia mpole japo ye ndo mwenye kosa inakua bado haitoshi....yani kiburi chake ndo kinamtawala.
Wale walalamikaji nao yani utadhani ulimwengu mzima kabebeshwa yeye....kila saa kama anataka kulia..kila kitu ye ni kama anaonewa.Hata akifanya kosa kulia atalia yeye ...na kubembelezwa atabembelezwa yeye.Hawa wadekaji maarufu ndo kabisaaa...mtu kadri unavyombembeleza ndivyo anavyozidisha!Yani utadhani mashindano...mpaka mwisho wa siku mtu unaamua kumpotezea tu!
Nnachosema ni kwamba...mapenzi sio kukomoana jamani!Kila kitu fanya kwa kiasi!Wapenzi/wenza hawatakiwi kua na ushindani...labda kama mnashindana kuonyeshana mapenzi na sio nani kinara wa kulalamika au nani mwenye kivuri zaidi ya mwenzie!Hivyo basi ukishokwa shikamana...ukielezwa elewa...ukipendwa pendeka...ukiheshimiwa heshimu na heshimika pia!
Siku njema....lunch ugali wa maharage leo...ama kuna mtu kapika nyama naomba mwaliko!!!
hapo red umenikumbusha zile barua zetu za praimari. Asante mpenzisweetheart mie mzima wa afya, hofu kwako tu ulie mbali na upeo wa macho yangu.....wacha tu sweet mapenzi kitu matata sana sana.
Siku njema....lunch ugali wa maharage leo...ama kuna mtu kapika nyama naomba mwaliko!!!
Mimi hizi uzi zako zinanichanganya saana Partner... zinzongea mule mule;
kunichanganya kunakuja kutokana na wewe kutokuemo humo kama sisi but
sometimes i feel you know more than sisi wahusika.... Dah! :doh:
Despite kua you are my MP Napenda your threads, so educative
........shikamana!
Baada ya jambo fulani jana nilijikuta nafikiria kuhusu watu wanavyoBEHAVE kwenye mahusiano.Wengine utakuta wanaendekeza KIBURI...wengine KUDEKA...wengine KULALAMIKA...n.k
Vyote hivi vikizidi kwakweli vinaweza kuvunja mahusiano maana INABOA/CHOSHA...kuna mtu unakuta hata akikosea yeye samahani mwiko.Hata ukimuwia mpole japo ye ndo mwenye kosa inakua bado haitoshi....yani kiburi chake ndo kinamtawala.
Wale walalamikaji nao yani utadhani ulimwengu mzima kabebeshwa yeye....kila saa kama anataka kulia..kila kitu ye ni kama anaonewa.Hata akifanya kosa kulia atalia yeye ...na kubembelezwa atabembelezwa yeye.Hawa wadekaji maarufu ndo kabisaaa...mtu kadri unavyombembeleza ndivyo anavyozidisha!Yani utadhani mashindano...mpaka mwisho wa siku mtu unaamua kumpotezea tu!
Nnachosema ni kwamba...mapenzi sio kukomoana jamani!Kila kitu fanya kwa kiasi!Wapenzi/wenza hawatakiwi kua na ushindani...labda kama mnashindana kuonyeshana mapenzi na sio nani kinara wa kulalamika au nani mwenye kivuri zaidi ya mwenzie!Hivyo basi ukishokwa shikamana...ukielezwa elewa...ukipendwa pendeka...ukiheshimiwa heshimu na heshimika pia!
Siku njema....lunch ugali wa maharage leo...[COLOR=red]ama kuna mtu kapika nyama naomba mwaliko!!![/COLOR]

Nnavyopenda dagaa..,ongeza maji ya ugali kabisa!
Hivi nyuma ya Mungu hua kuna dagaa?!?Mi sijawahi kuwala....ila perege huniambii kitu!!Code:........shikamana! Baada ya jambo fulani jana nilijikuta nafikiria kuhusu watu wanavyoBEHAVE kwenye mahusiano.Wengine utakuta wanaendekeza KIBURI...wengine KUDEKA...wengine KULALAMIKA...n.k Vyote hivi vikizidi kwakweli vinaweza kuvunja mahusiano maana INABOA/CHOSHA...kuna mtu unakuta hata akikosea yeye samahani mwiko.Hata ukimuwia mpole japo ye ndo mwenye kosa inakua bado haitoshi....yani kiburi chake ndo kinamtawala. Wale walalamikaji nao yani utadhani ulimwengu mzima kabebeshwa yeye....kila saa kama anataka kulia..kila kitu ye ni kama anaonewa.Hata akifanya kosa kulia atalia yeye ...na kubembelezwa atabembelezwa yeye.Hawa wadekaji maarufu ndo kabisaaa...mtu kadri unavyombembeleza ndivyo anavyozidisha!Yani utadhani mashindano...mpaka mwisho wa siku mtu unaamua kumpotezea tu! Nnachosema ni kwamba...mapenzi sio kukomoana jamani!Kila kitu fanya kwa kiasi!Wapenzi/wenza hawatakiwi kua na ushindani...labda kama mnashindana kuonyeshana mapenzi na sio nani kinara wa kulalamika au nani mwenye kivuri zaidi ya mwenzie!Hivyo basi ukishokwa shikamana...ukielezwa elewa...ukipendwa pendeka...ukiheshimiwa heshimu na heshimika pia! Siku njema....lunch ugali wa maharage leo...[COLOR=red]ama kuna mtu kapika nyama naomba mwaliko!!![/COLOR]
karibu ninakula wali kwa dagaa wa bwawa la Nyumba ya Mungu ni watamu balaa............
........shikamana!
Baada ya jambo fulani jana nilijikuta nafikiria kuhusu watu wanavyoBEHAVE kwenye mahusiano.Wengine utakuta wanaendekeza KIBURI...wengine KUDEKA...wengine KULALAMIKA...n.k
Vyote hivi vikizidi kwakweli vinaweza kuvunja mahusiano maana INABOA/CHOSHA...kuna mtu unakuta hata akikosea yeye samahani mwiko.Hata ukimuwia mpole japo ye ndo mwenye kosa inakua bado haitoshi....yani kiburi chake ndo kinamtawala.
Wale walalamikaji nao yani utadhani ulimwengu mzima kabebeshwa yeye....kila saa kama anataka kulia..kila kitu ye ni kama anaonewa.Hata akifanya kosa kulia atalia yeye ...na kubembelezwa atabembelezwa yeye.Hawa wadekaji maarufu ndo kabisaaa...mtu kadri unavyombembeleza ndivyo anavyozidisha!Yani utadhani mashindano...mpaka mwisho wa siku mtu unaamua kumpotezea tu!
Nnachosema ni kwamba...mapenzi sio kukomoana jamani!Kila kitu fanya kwa kiasi!Wapenzi/wenza hawatakiwi kua na ushindani...labda kama mnashindana kuonyeshana mapenzi na sio nani kinara wa kulalamika au nani mwenye kivuri zaidi ya mwenzie!Hivyo basi ukishokwa shikamana...ukielezwa elewa...ukipendwa pendeka...ukiheshimiwa heshimu na heshimika pia!
Siku njema....lunch ugali wa maharage leo...ama kuna mtu kapika nyama naomba mwaliko!!!
Nikweli lakini wasiwasi wangu ni kwamba anaelewa mpaka anapitiliza na hii kwake sio nzuri sana kwani kwenye uhusiano hakuna fomula ya mojakwamoja!na kama kila kitu unafikiria sana utaona kila kitu sio sawa!
Wanachosha kweli...ni kazi zaidi hata ya kulea mtoto mchanga!!!
Partner nimeletwa kwenu kufikisha ujumbe na kumwaga taaluma!!Lolzz...just kidding!
Haya wote yanatuhusu...hata sie SINGLE LADIES tunaona wanaume wenye magubu wametuzunguka mpaka tunakosa raha!Siku nikijikuta niko ndani yaliyomo sijui ntayaweza au yatanishinda!!
Hivi nyuma ya Mungu hua kuna dagaa?!?Mi sijawahi kuwala....ila perege huniambii kitu!!
Jana yamekukuta nini? maana ulivyopresent kama vile wajisemea mwenyewe