Ukishika shikamana

Ukishika shikamana

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,758
Reaction score
9,589
Mabestito muhali gani
sijui niseme nimewamiso
au niseme sijawamiso au
nilale mwelekeo wa :drama:


Ule msemo unaosema kuwa
UKISHIKA SHIKAMANA sasa
naona unajongea taratibu
kwangu hivyo sina jinsi nami
kujiachia na kusema kuwa
NTASHIKAMANA nawe daima

Sasa utaona wengine wana
shikwa wao hawataki kushikamana
kwanini? lakini mwenzio anataka
KUSHIKAMANA nawe wewe unakwepa
unasema mhm! acha nikupe SOMO
ambalo litakufanya uweze kushikama
na mwenzio. Shostito mwaka ndo
unaanza huu kama kuna dosari lilitokea
nyuma ni vyema uliue hilo soo sio
kuliachia, mashostito tunakoseaga ni
pale tunapoombwa kushikamana
na sie tunasema akuuu sitaki mie kitoe
zako. Dada acha kuwa hivyo bestito
ukiona kidori kinakunyatia kwa chabo
wewe kisii kiaina halafu kipe mapozi ya
kike,
na mwishoe kishikamane nacho iyo
ndio njia pekee ya kuweza kushikamana
na mwenzio hilo ndo darasa jipya besti upo?
kama litaku :confused2: basi una budi kuji:A S 100:
kivingine ila mm hayanihuuuu



Ila kuna tatizo kwa hawa MADORI wa
siku hizi kazi yao kubwa ni kuchonga
na sio kutafuta maisha kazi yao kubwa
wanawasarandia madada utadhani wali:madgrin:
mm inanishangaza sana kuona DORI zima
likipiga :clap2: pale ambapo hapastahili halafu
linaleta ngebe mtaani kote kisa anajifanya :boxing:
utaisoni wako peleka huko huko kwanini
uwe KIKWAZO kwa mwenzio eti kisa
umem.... ll.jpg na isitoshe
utambaa mtaani kujifanya wewe ni kidume
kumbe si lolote wala chochote bali mpotezea
tu njia za wengine, unalalama utadhani :drama:
Jikaze kiume mtoto wa kiume tafuta na penda
kujituma ndo utaona mafanikio katika maisha
yako na huyo msarandiae upo hapo mwakwetu
heheheeeeeeeeiya yanihusuuuu
Kuwa mchakarikaji ndipo utapata yule wa
KUSHIKAMANA NAYE na sio kuji:becky: kwake eti
kisa wewe mko partner heeeeeiya UTALALA
SANA NA WALA HUTAAMBULIA KITU


Nadhani SOMO mshalipata hapo
na mwenye kuwa MTAFITI na
kung'amua nini kimeongelewa hapa
atatambua kwa makini ndipo utajua kuwa
TUNATOKA KIVINGINE NA TUNASHIKANA

Nawatakia siku njema


Nawasilisha

Ladyf
 

Attachments

  • simbol.jpg
    simbol.jpg
    3.9 KB · Views: 217
Last edited by a moderator:
heee bestito hujasahau tu nilidhani umesahau kumbe...............
salamu zimeshafika kwani niko naye karibu hapa ana yeye anacheka sana hapa
ni mazito bestito wamgu ila wenye masikio wamesikia..........

salaamu kwa kile chungu chetu cha ukweli Y
 
Back
Top Bottom