..........ukishangaa ya musa.....jamani hiki kiazi

meeku

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Posts
569
Reaction score
108
Kwani ndo tunakaribia mwisho au vilikuwepo?
 
Hakuna jipya hapa duniani! Vyote vilikuwepo ila utundu wa kuangalia kila kitu ndio sasa. Watu sasa wamearibiwa na mitandao!
 
kwani chashangaza nini, mbona ni mithili ya bunduki ya kiumeni tu!!
 
Lakini kilichungulia wapi hadi kujifananisha na kitu ambacho saa zote chafichwa??
 
si unaona jinsi mimea ilivyo michokozi.
 
Ila ki-kweli mimea imekuwa michokozi mno nowadays kha!!!
 
Alishakaangia roast akashushia ugali. Wewe ungeweka. Si itaoza sasa.

Naikausha juani,ili isioze.
Si unajua kuna maeneo mengine kuna baadhi ya jinsia ni adimu!
 
Mbegu na mbolea zinazotumika kuotesha mimea hyo zinachangia kutokea kwa maumbo ya ajabu ya mimea.
 
Mapu.... kum.... nje nje kwenye mimea......!!!
 
Hebu oneni. lakini napata wazo kuwa watu wamekuwa wakifanya ngono vichakani hivyo kusababisha mimea imekuwa ikichungulia viungo vyetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…