Bwana mambo ya kanisa yanatoka wapi mku? Au unataka mods wafute Uzi?Hahaha
kanisa ni moja tu Katoliki Takatifu na La Mitume..
Du mambo ya shekh yanatokea wapi mkuu?yule shekhe aliye baka mtoto naye alipitia useja
Jadili hoja mkuuyule shekhe aliye baka mtoto naye alipitia useja
Sodoma na gomora walikuwa waseja? Ufumbuzi ni Huu..View attachment 1025048
Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani Kama ushawahi kuishi japo km moja toka anapoishi padre.Sisi wanaume,sisi wanaume Rijali,huwezi kutuzuia tusioe haiwezekani hata kidogo labda uwe na matatizo..
Na km ukifanikiwa kutuzuia mambo yafuatayo yatatoke
1.ushoga
2.ubasha
3.ulawiti
4.ubakaji
5.kutembea na wake za watu.
6.kuzaa watoto na kuwatelekeza
Huku kwetu tunakokaa hawa viongozi walipewa sheria ya useja wanasifa mbaya sana ya kutembea na wake za watu.
Mwanaume aliyetimia hawezi kuwa na mwanamke mmoja,km mmoja haiwezekani VP uambiwe usioe kabisa? Tusidanganyane,haya ndio matatizo ya kufuata sheria za binadamu.
Ifikie hatua waache unafki waruhusiwe kuoa.
NB:km imekugusa pole sana acheni sheria za kibinadu.
Sent using Jamii Forums mobile app
yule shekhe aliye baka mtoto naye alipitia useja
Mkuu sijui unamzungumzia huyu???yule shekhe aliye baka mtoto naye alipitia useja
Sisi wanaume,sisi wanaume Rijali,huwezi kutuzuia tusioe haiwezekani hata kidogo labda uwe na matatizo..
Na km ukifanikiwa kutuzuia mambo yafuatayo yatatoke
1.ushoga
2.ubasha
3.ulawiti
4.ubakaji
5.kutembea na wake za watu.
6.kuzaa watoto na kuwatelekeza
Huku kwetu tunakokaa hawa viongozi walipewa sheria ya useja wanasifa mbaya sana ya kutembea na wake za watu.
Mwanaume aliyetimia hawezi kuwa na mwanamke mmoja,km mmoja haiwezekani VP uambiwe usioe kabisa? Tusidanganyane,haya ndio matatizo ya kufuata sheria za binadamu.
Ifikie hatua waache unafki waruhusiwe kuoa.
NB:km imekugusa pole sana acheni sheria za kibinadu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hanaga akili huyo. Muache tu.
Kwa hiyo tusifuate sheria za binadamu tufuate Sharia sio?
Sharia yenyewe ni sheria za kibinadamu ndugu, sema zenyewe zimetungungwa tu na binadamu wa karne ya 7 wenye elimu na uelewa duni wa mambo mengi
Bunch of Bullsh*tAmri 10 alizopewa Musa