Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,480
- 7,443
U?Siamini katika hizo dawa mkuu
Juzi nimelazimishwa kula ugali samaki nahisi moyo kwenda mbio.Mi siwez ruhusu demu anipikie mara nyingi naletewa kwenye hotpot nakiweka kabatin akiniambia mbona uli namwambia nala baadae akiondoka nampa mwana yeyote atakeokuwepo around mida hyo
Uchawi ni real upo sema watoto hawawezi elewaView attachment 1963355
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Acha kurahisisha mambo.Wanaume wa bongo bwana. Jiute anamiliki boxer yake tu kwenye nyumba ya kupanga ...kapendwa hivyo hivyo ila kutwa kuhofia kurogwa
Hebu mkipendwa pendaneni
Furahieni mapenzi
Maisha yenyewe mafupi haha!!!!