Ukiporwa Taulo

Ukiporwa Taulo

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,267
Mfano umetoka kuoga kwenye vyoo vyetu vya uswahilini ambavyo viko mbali na chumba akatokea mtoto au chizi akakupora taulo ilihali ndani huna kitu kabisaaaaa.......je utafanyaje?

Hint: Utakimbia au utachuchumaa?
 
Hii inafanana na swali lingine la kizushi; umebeba mtoto huku unamrusharusha juu, chini umevaa taulo likaponyoka ghafla mtoto akiwa juu, utadaka mtoto au kuokota taulo?
 
Mfano umetoka kuoga kwenye vyoo vyetu vya uswahilini ambavyo viko mbali na chumba akatokea mtoto au chizi akakupora taulo ilihali ndani huna kitu kabisaaaaa.......je utafanyaje?

Hint: Utakimbia au utachuchumaa?

Hahahaha....! Kama ni mimi apo, NAMKIMBIZA ALIE NIPORA taulo langu......!
 
hapo mim najidai Mr Bean!!! mkono mmoja mbele mwngne kwnye maandazi! kama nazuia baridi vile! afu nduki ghetto!!!
 
hahahaaaaaa mkono mmoja unauweka kwa manka/leloo wa pili unafunika chipsi mbili zako alafu unacharu chubwiiiii ndani
 
Back
Top Bottom