Ukipewa Rushwa na Mgombea piga simu TAKUKURU

Ukipewa Rushwa na Mgombea piga simu TAKUKURU

We kwenda zako, nyie veggies ndo wala cake ya taifa halafu mtuletee laki kwa akili zako tutakataa? 😹😹

Tena km wewe una kazi ngumu ya kuhonga wajumbe wakupitishe na hupiti ng’oo 🤣
nyie wapokea rushwa mna maneno dah!
kwahiyo ukipewa rushwa ya laki tu unachukua? dah utafungwa maisha wewe kwa laki tu, lione, ulafi wa pesa tu 🐒
 
nyie wapokea rushwa mna maneno dah!
kwahiyo ukipewa rushwa ya laki tu unachukua? dah utafungwa maisha wewe kwa laki tu, lione, ulafi wa pesa tu 🐒
Nyie mnavyopiga mnada mali za umma huo sio ulafi? 😹😹😹

Pesa mkileta tunakula na kura hatuwapigii 🤣
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom