Kuna tetesi zinavuja toka Magogoni kwamba wakati wowote bwana mkubwa atawatumbua mawaziri watatu kwa kufanya kazi kwa mazoea. Na kama mnakumbuka alisema mwenyewe kwamba kuna mawaziri anawarekodi wanalalama kuhusu OC.
Ukiwachambua vizuri mawaziri wanaofanya kazi vizuri na wanaoenda na kasi tunayoelezwa hawazidi watano. Kwangu mimi nawaona Mbarawa, Ummi, Jafo, Lukuvi na Mwijage hawa angalau wanaridhisha.
Kwa kuwa wao wamekuwa mstari wa mbele kutumbua wenzao, ukipewa nafasi ya kutumbua waziri asiyeenda na viwango na kasi ya awamu hii utaanza na nani?