CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
1:Jukwaa la dini-Hili limejaa kashfa na madongo kwa dini nyingine.
2: Jukwaa la siasa:Hili limewahi kunisababishia LIFE BAN ambayo niliitumikia kwa miezi 9,baadaye kina Invizibo wakanisamehe.
3:Mambo ya kikubwa:Mh!!!!
Nime hamishia makazi jukwa la kikubwa, karibu sana. Mzima mkuu
najipiga bun kwenye siasa maana kule kila nikiingia nasikia bun inaninyemelea kuna watu wanaongea pumba mnoMbona hamtoi sababu???
Mie mzima ndugu!
Kule huwa nawachungulia,naona mmejaa tele!!
Mie mzima mkuu!
Ishmael,mie nimejichimbia jukwaa la siasa na Dini...karibu!
najipiga bun kwenye siasa maana kule kila nikiingia nasikia bun inaninyemelea kuna watu wanaongea pumba mno
miaka hamsini na matatizo yote haya maji, elimu, afya bado ni ndoto then unakuta ------( sorry) anasifia ccm si unatawanya kama......!
Jukwaa la Chit-Chat na MMU ningejipiga life ban.
1. Jukwaa la Kikubwa
Sidhani na wala sitarajii kuomba ruhusa jukwaa hilo. Ingawa sijawahi kuingia huko, ila naamini hakuna jambo jipya la kujifunza(sioni kama nitaongeza ujuzi wowote), hivyo nilishajipiga BAN ya jumla jumla tangu awali.