Ukipewa kazi ujue kuitetea; Kinachomkuta Maulid Kitenge ni dhihaka na jina alilo nalo haviendani na anachokifanya

Jumanne Mwita

JF-Expert Member
Nov 18, 2014
424
1,044
Hapa tuondoe tabaka zetu pamoja na itikadi tuziweke pembeni.

Sasa tuzungumze vitu serous kabisa vyenye mantic, kwa wewe unavyoona Masai wanaonewa hapa au ni mpango wa serikali kuanzisha vuguvugu ili ionekane hawako sahihi waondoke?

Masai kuishi kwenye hifadhi ya Ngorongoro serikali inakosa nini ambacho inakitafuta karne hii ya 21 katika hifadhi ya Ngorongoro?

Harakati hizi za kuwaondoa kwenye hifadhi yao zitainufaisha vipi Taifa na kulitoa hapa lilipo kwenda pahala pengine?

Wamasai wameishi Ngorongoro miaka na miaka kwa wanajua historia watanisaidia.


Hoja inayotolewa na waandishi wa habari ni kuwa, wamasai wanakufa kwa kuliwa na wanyama wakali na hukosa huduma za msingi kama wengine wa mijini au maeneo mengine ambayo hayapo kwenye hifadhi kama wao.

Vilevile wanaendelea kusema hata Elimu hakuna, huduma ya maji pia hakuna, watoto wanaishia kuchunga ng,ombe hawaendi shule na huduma ya afya pia hakuna.

Hayo ndio mawazo yanayotolewa na waandishi wa habari wanaopromot hiyo kazi.

Nimejiuliza sana miaka zaidi ya 60 hawa watu wapo humo na wanaishi maisha yao iweje leo uwaonee huruma watawala wangapi wamewaona na kuwaacha imekuwaje leo iwe hivi?

Nakaribisha maoni na mijadala iendelee karibu sana
Screenshot_20220207-130120_Twitter.jpg
 
Tatizo sio wamasai kuishi humo kuna ongezeko kubwa la wahamiaji kwenye hifadhi hiyo ikiwemo jamii ya wafuganyi na wengine kama idadi ya watu ikishindwa kuwa managed hata native wa eneo hilo wataondolewa
 
Wanaweza kuweka limit ya makazi ya watu na eneo la mpaka ambapo mifugo haitakiwi kuvuka na siyo kuondoa wamasai wote hifadhini. Ladha ya hifadhi ya ngorongoro ni uwepo wa masai na ng'ombe zao. Anayetaka kuwaona wanyama pekee bila masai ataenda serengeti......
 
ishu na umasikini, kukosa elimu.... sio hoja pekee ya kuwadhalilisha Maasai....wilaya ngapi za TANZANIA ziko apeche aroro na viongozi wa maeneo hayo wapo.......mfano hai ni aliyekuwa SUPIKA......ndugai....nenda kongwa ukapaone palivyo...serikali ndio ya kulaumiwa sio Maasai......propaganda za wana habari zinajulikana....ni njaaa na ULAFI wa kila wakionacho jikoni ...kikichelewa kuletwa mezani wanakifuata jikoni.....
 
Back
Top Bottom