Mwamba1961
JF-Expert Member
- Dec 10, 2016
- 633
- 417
- Thread starter
-
- #21
Kuna msichana ninampenda sana na nimemwambia na amekubali ila nashangaa nikipiga simu hapokei, akipokea nitafute badae na yupo nyumbani tu..
Yani napata hasira sana..
Nimeamua niwe natulia na msichana mmoja ila naona anataka niwe n makoloni mengi tu..
nipeni ushauri nimfanyaje huyo msichana ???
Wadau vipi kuna nini mbona leo nyuzi kibao masela wanalilia tu kuzinguliwa na wanawake.. poleni
Sent using Jamii Forums mobile app
brother jifunze kupotezea mambo aisee...don't be so weak to love kiasi hicho.
unateseka nini na wanawake wapo wengi
Nipotezee kivipi ndugu yangu nimeamua nitulie niwe na huyu msichana ?
bro umependa usipopendwaNdio wapo wengi ila huyu ni bora kwangu
sasa yeye anakupotezea ndo maamuzi gani hayo sasa. Count your losses usikubali kuumia kindezi
bro umependa usipopendwa
unateseka nini na wanawake wapo wengi
POLE SANANaisi hivyo.. Dah
YALISHANIKUTA NIKAONA ISIWE TABUUnajibu la kibabe yakikukuta utaelewa