Mwamba1961
JF-Expert Member
- Dec 10, 2016
- 633
- 417
Ndio ujinga ambao siupendi huu. Umeomba ushauri mtu najitoa nataka kukusaidia tena bure bila malipo alafu unaleta masihara [emoji52][emoji52]Piga 100
Eti unapata hasira sana..hahahahaaa
Kwan lazma umpigie Mkuu? Embu kuwa jeuri basi hata kidogo dah.
Ndio ujinga ambao siupendi huu. Umeomba ushauri mtu najitoa nataka kukusaidia tena bure bila malipo alafu unaleta masihara [emoji52][emoji52]
Aaaa mzee baba ukileta ujeuri saaaaaaaana unamkosa
Yuko bize...Ndio napata hasira...
Unahisi kwanini ananifanyia hivyo ???
Kwan lazma umpigie Mkuu? Embu kuwa jeuri basi hata kidogo dah.
Sindio, we niandikie hapa utashangaa usiku anakupigia simu mpaka uje kuomba ushauri wa jinsi ya kumkata speedHahahahaha, Yani unataka namba yake ya simu
Bas hata upole hautakusaidia kwa lolote MkuuUjeuri nilileta aukusaidia chochote
Hilo ndio kosa unalolifanya just know your value then the rest will follow Mkuu.
Sindio, we niandikie hapa utashangaa usiku anakupigia simu mpaka uje kuomba ushauri wa jinsi ya kumkata speed
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kamchape fimbo.
All the Best Mkuu.Mzee sikatai ila bado ajakaa kwenye mpaka yangu,, Akikaa kwenye himaya yangu thamani yangu itajionesha tu