Ukipendwa, acha mbwembwe

Ukipendwa, acha mbwembwe

Oxygen gas

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2018
Posts
247
Reaction score
236
Salam kwanza;
Hii ni special both men/women,

Kuna wakati tunatakiwa kuheshimu hisia za mtu hasa akupendae..

Kuna manzi nilimtongoza akachomoa kama mara tatu, kwa kuwa huwa sina tabia ya kubembeleza sana niliamua kuachana nae. Sasa baada ya miezi kadhaa ameanza kunitumia sms za kunitega ili niendeleze mtongozo, kwa hapa nampa maumivu.

Akitaka kuwa nami lazima anieleze yeye mwenyewe kuwa amenipenda la sivyo imekula kwake. Siwezi kukulazimisha mie kwa miezi kadhaa kukutongoza. Kama umo humu bidada sahau kukutongoza tena.

UKIPENDWA KWA WAKATI, KUWA MZALENDO.

NB: Huyu manzi ni rafiki wa my ex girlfriend.
 
Mkuu mtaje tu inaonekana unaemuelezea ni member wa humu.. Tena uenda anajua yako hongera Kwa kulilia kutaka kutongozwa
 
Mkuu mtaje tu inaonekana unaemuelezea ni member wa humu.. Tena uenda anajua yako hongera Kwa kulilia kutaka kutongozwa
Sio kutongozwa Mkuu, yeye kama alikuwa ananipima amekwama
 
Sijaona sehemu yeyote aliyopedwa sana sana umempa mtongozo tu
 
Ndiyo walivyo wanawake...
Wavumilie tuu...


Cc: mahondaw


haaaaaaaa nashukuru sikupoteza muda kiviiiiiiile Weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kwa Smart911 teinaaaaaaaaa ningepitwa na bahati na am sure sasa kiti kingekua kinakaliwa na mwingine..

king Julian mtamu jamani mweeeh

thanks God
 
Kwanza haya mambo ya kubembeleza sana kama vile unapiga gitaa wakati wa kutongozana yamepitwa na wakati.
 
Kwani nayeye yupo humu jf hadi ushindwe kumueleza then utuletee sisi malalamiko yako mkuu.....
Au kama vipi, ebu naomba namba yake mie muhenga
 
Sisi wanaume hapana unamtaka rafiki wa x wako ili iwaje, mwanaume wa kweli hafanyi huo utaila
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom