Ile Imani na mapenzi kwa Mungu mpaka alikuwa tayari kumtoa mtoto wake wa pekee kama sadaka kwa Mungu, ile ni ngumu kupatikana.
Ahaa linahusiana na mtindio wa ubongo?Ni matatizo ya akili yanayotokea tangia mtoto akiwa mdogo, yanamfanya ashindwe kuongea, kuelewana na watu na wengine wanakuwa hawatulii mahali pamoja, wengine wanatulia lakini ndiyo hawaongei.
Mkuu sifahamu tatizo hasa limesababishwa na nini lakini ni baada ya kusikia mama wa watoto anajutia umri aliopata watoto wale.Hivi hayo matatizo yana uhusiano wowote na umri wa wazazi? Maana kuna watoto wamezaliwa Baba na mama wako 50 na ni wazima kabisa
Sawasawa madameeHapana si mtindio wa ubongo.
Thanks God it's Friday,
Jana nilikuwa na shost tunapita madukani, shost alikutana na shost yake ambae mimi simfahamu, mdada mzuri na yeye ametoka madukani si mnafahamu Mlimani City panavyokuwa busy jioni. Nilifahamishwa kwa mdada huyu baadae walipiga story mbili tatu na kuagana.
Basi shost ananipa story baadae kuwa yule dada alikuwa anafanya kazi bank, alikuwa supervisor flani hivi. Imefika 35 ndiyo anapata mchumba, mipango ya ndoa inaanza dada amepata redundancy kazini. Wamekaa na mchumba walishauriana pesa aliyolipwa akafanye Masters, harusi iliahirishwa. Dada amekwenda huko, shughuli za huku na kule mpaka anakuja kuolewa yuko 42.
Hapo mume ameshagonga 50, baada ya mwaka mmoja tu wa ndoa harusi imejibu na baby boy. Kwakuwa alichelewa basi alikuwa na speed si ya kawaida, baby ana miezi sita alikuwa mjamzito tayari. Baby alikuwa slow kidogo, basi alijifariji kwasababu amebebewa mimba mapema, mpaka anajifungua, baby hajaanza kuongea.
Mtoto wa pili amezaliwa pia ana matatizo kama ya kaka yake. Sasa hivi wana watoto wawili wote wana severe autism. Mkubwa ana miaka 5 mdogo miaka 4 wote bado wanatumia nappy, hawawezi kuongea na wanahitaji matunzo ya karibu masaa 24.
Tena huyu baba wa miaka 50 ni professor na yeye amekwenda mpaka wamekutana wote dakika za lala salama.huyo bishosti si kwamba alikosa mchumba mapema,,ni zile tabia za madada kuchambua sana wanaume,,,akija huyu eti syo hazi yako
kama siyo basi ni wale wakitoka job wanaenda club usiku na vidume wa watu,,ikifika saa nane umelewa chakari so wanakula uchi for free mwishowe sura inapwaya kwa migegedo mingi na pombe....................
kuhusu mwanaume ni wale wenye ela ila kila mrembo anataka ampitie,,,,,mwisho wa siku kwa wiki ankua na ratiba za kugegeda mabinti 19,,,,,ela yote inaishia baa na kwenye pombe,kuja kushtuka umri umeeenda unaanza kutafuta vibibi au singo maza....
kwa leo tuishie hapo
Kabisa! Alipoteza mda kijinga sana
Tena huyu baba wa miaka 50 ni professor na yeye amekwenda mpaka wamekutana wote dakika za lala salama.
Huyo mbona bado kijana atapata tuu, mradi ajue kujiweka vizuri tu.niwashauri wadada,,,ukiona uko 35 bado husomeki tafuta kavulana mpe uchi ajaze uji,,lea mwanao
namfahamu dada mmoja yuko successfull sana ela kibao na magari ana 42 years bao mbichi ila sasa hana hata boyfriend,,kazi kuzungukia makanisa et anataka kuolewa kanisani,,,wamemshauri hataki,,nani akuoe na umri huo
Tena huyu baba wa miaka 50 ni professor na yeye amekwenda mpaka wamekutana wote dakika za lala salama.
Huyo mbona bado kijana atapata tuu, mradi ajue kujiweka vizuri tu.
by the way ule utam wa papuchi sio sawa na wenye 20s,,,,,,matiti yatafikaje kiunoni wakati hajanyonyesha?