Furaha na upendo ni matunda pacha na amani (Wagalatia 5:22)
Mama Kanisa anatutuma kama Taifa kusimama pamoja na Kuomba Haki ikatawale nchini mwetu, na Amani itokanayo na hiyo Haki, hasa kipindi hiki tunapoelekea katika Uchaguzi Mkuu wa Tanzania. Haki Itamalaki, Haki itawale, Haki ishinde kila kitu.