Unforgettable
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 5,582
- 12,444
hahahah, thread zingine hadi sisi wambeya waandamizi ndio tunaweza kuzielewa fasta. hahahahahhah.
Nawatakia jioni njema wakuu
Uko vizuri mkuu
hahahah, thread zingine hadi sisi wambeya waandamizi ndio tunaweza kuzielewa fasta. hahahahahhah.
Nawatakia jioni njema wakuu
Mie ni mwalimu wa vidudu mkuu. I mean nafundisha "vidudu" a.k.a chekecheaUko vizuri mkuu
Uko nchi gani unatutakia jioni njema saiz?hahahah, thread zingine hadi sisi wambeya waandamizi ndio tunaweza kuzielewa fasta. hahahahahhah.
Nawatakia jioni njema wakuu
Mie ni mwalimu wa vidudu mkuu. I mean nafundisha "vidudu" a.k.a chekechea
🤣🤣🤣🤣🤣
Ajifunze kiyaishi maisha yake, akiishi kwa kuangalia au kusikiliza fulani atapata taabu sana.mleta thread ana
Mleta thread anasema hivi: UKIPANGA NYUMBA MOJA NA WANAWAKE WENGI, WANAKUWA WANA MANENO MENGI SANA, KWA MFANO IKITOKEA ULIKUWA NA MWANAMKE NDANI KWAKO, HALAFU UKATOKA NJE UNATOKWA NA MAJASHO, BASI HAO WAPANGAJI WENZAKO WATAANZA KUONGEA MANENO MENGI MENGI JUU KAMA HAYO ALIYOYAORODHESHA HAPO JUU
*Ndo maana hanenepi
*Kulegezeana K tu
*Anatoa Salam ndeefu nikamshitukia
*Hapo bado yule mwembamba
*Itabid ahame tu hizi sifa
*Kila siku anakula matikit
*Atamkondesha mtoto wa watu
*Me hata simtaki hata kama ata nipa kigari chake bure
*Kujitakia maradhi tu
mleta thread ana

Mimi hapa UnforgetableKumbe alimaanisha hivi mbalizi1 njoo
Kama karanga
[emoji106]mleta thread ana
Mleta thread anasema hivi: UKIPANGA NYUMBA MOJA NA WANAWAKE WENGI, WANAKUWA WANA MANENO MENGI SANA, KWA MFANO IKITOKEA ULIKUWA NA MWANAMKE NDANI KWAKO, HALAFU UKATOKA NJE UNATOKWA NA MAJASHO, BASI HAO WAPANGAJI WENZAKO WATAANZA KUONGEA MANENO MENGI MENGI JUU KAMA HAYO ALIYOYAORODHESHA HAPO JUU
*Ndo maana hanenepi
*Kulegezeana K tu
*Anatoa Salam ndeefu nikamshitukia
*Hapo bado yule mwembamba
*Itabid ahame tu hizi sifa
*Kila siku anakula matikit
*Atamkondesha mtoto wa watu
*Me hata simtaki hata kama ata nipa kigari chake bure
*Kujitakia maradhi tu
Hheee[emoji33][emoji33]mazngumzo ya kimwili ndonn?Hapana mdau ...mfano nilipamga nyumba mpyaaa Niko peke yangu ndio naanza maisha chumba na sebule self 2010 ... Nyumba ilikuwa na vyumba sita vyote sebule na self. Ghafla bin vuu wiki iliyofuatia waliamia wasichana vyumba vyote vilivyobaki na tuliajiriwa nao full singles ... Ila nilikula Bata Sana ... Maana sikupika mpaka nahama hapo Leo unaalikwa huku kesho kule yaani hoyahoya tu. Mmoja wapo akatokea kuwa mkwangua vocha basi freeesh nikiwa na vocha zangu naenda anakwangua naingiza vocha fresh mazungumzo ya kimwili yanaendelea
Huyu ni kiazi sio bananaWewe unajua fika kuwa hiyo Nyumba ni ya wanawake Halafu unapanga hapo then unalalama, which type of banana are you?
Mkubwa wewe ....jiongezeHheee[emoji33][emoji33]mazngumzo ya kimwili ndonn?