Ukiondoa wastaafu wanaosubiri mafao yao, ni kundi gani jingine linaisoma namba zaidi?

Hivi mstaafu mpaka unatimiza miaka 60!
Hata chumba kimoja Cha kupangisha huna!!!?mpaka uanze Kusukumana kwenye Daladala wakati unaenda nssf
 
Waziri wa Fedha amegusia masuala ya mifuko ya Hifadhi Ila sijui kwanini hakugusa suala la kikokotoo.

Wakitoe na wawalipe haraka wastaafu malimbikizo yao.

Kikokotoo ndo chanzo Cha umaskini huwezi kusubiri hela amabayo ni robo ya salary yako halafu Kuna inflation.
Huu Ni ughaidi wa mchana kweupe
 
NSSF wanatengeneza nchi ambayo itakuwa na looters na insurgency Kama South Africa.Hili fukuto na Volcano inayowaka Ni Kama Covid haitawaacha matajiri salama.NSSF you are the loosers
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…