Ukiondoa wastaafu wanaosubiri mafao yao, ni kundi gani jingine linaisoma namba zaidi?

Ndio hivyo mkuu ,sasa omba michango yako isizidi miaka 14 ,hapo utaambulia asilimia33% baada ya hapo unaambiwa subiri ustaafu ndio upewe iliyobaki ,sasa ngoma iliyobaki nayo ukiwa mzee utaambulia 25% nyingine unalipwa mdogo mdogo hadi ukate kamba.
Mwanasiasa ni shetani kabisa.
Wakati anapanga hiyo sheria yeye anasubiri miaka 5 iishe avute mamilioni yake
 
Mwambie azurule. Siku hizi wale waoaji wa kuulizia jamani wapi kuna mdada mwenye tabia njema hawapo.

Siku hizi watu wanakutana mitandaoni, kazini, kwenge sherehe, kwenye daladala.

Na kwasababu ni graduate kashajiwekea 'class' watu wengine wanaona siyo wa aina yao.
Nice advice
 
wastaafu wanatia huruma uku mtaan jmn iv kwann serekal isunde mfumo ambao sku unachukua barua yako ya kumalza utumish unapita uhasibu unachukua chek yako unaenda benk wanadposit pesa yako?? mafao yamekua kama n den wakat kila mwez mtu unakatwa na hujawah kuacha kukatwa kuchangia hil taifa lilitungiwa baadh ya sera na watu wapuuz sana

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
 
By the time mtu unagonga miaka 50, ni vyema kuanza kujiandaa na kustaafu kwa kuhakikisha angalau una nyumba yako (usiniambie kujenga haiwezekani hasa kwa familia ambayo baba na mama wote wanapata mishahara).

Angalau una ka gari kagumu na fuel efficient kama Vitz au IST, una ka akiba benki angalau milioni kumi na pia uwe unamiliki miradi midogo midogo hasa ya kilimo na ufugaji.

Tofauti na hapo ni stress tupu baada ya kustaafu!
Kwa mishahara huuhuu wa bongo au America? Yaani take-home haizidi 5 lakh na unawasomesha chuo waliokosa boom, wanakula, wanasafiri to and from, wanavaa na wantibiwa halafu uwe na Amina ya 10m. Acha masihara dogo!
 
wastaafu wanatia huruma uku mtaan jmn iv kwann serekal isunde mfumo ambao sku unachukua barua yako ya kumalza utumish unapita uhasibu unachukua chek yako unaenda benk wanadposit pesa yako?? mafao yamekua kama n den wakat kila mwez mtu unakatwa na hujawah kuacha kukatwa kuchangia hil taifa lilitungiwa baadh ya sera na watu wapuuz sana

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
Toa suluhisho la Nini kifanyike kwani kuandika humu ni easy! Mimi najitolea kuandaa maandamano ya namna yoyote ya amani au vurugu kuilazimisha serikali ije na utaratibu wa kila mstaafu kukabidhiwa check ya mafao yake ndani ya mwezi mishahara wake ulipogomea!
Kinyume chake tutapoteza wazee wetu kwa njaa na Sonoma!
Serikali iamue moja, kuwalipa ndani ya mwezi au kinuke siku moja!
 
Kwa mishahara huuhuu wa bongo au America? Yaani take-home haizidi 5 lakh na unawasomesha chuo waliokosa boom, wanakula, wanasafiri to and from, wanavaa na wantibiwa halafu uwe na Amina ya 10m. Acha masihara dogo!
Dah! Kama una 50+ na bado unapokea take home ya 500k, basi kuna mahali ulikosea. Inawezekana ulivyoingia kazini ulibweteka, hukujiendeleza kielimu.
 
Binafsi naona wastaafu ndio kundi pekee waliomaliza kuzisoma namba zote hapa duniani.

Kuna wastaafu wengine wana miaka 2,3 n.k hawajalipwa stahiki zao.

Kila siku wakienda PSSSF wanaambiwa bado hiki, wakikamilisha hiki wanaambiwa bado kile. Then hupewa kakenda ya kulipwa, hapo sasa shughuli inaanza tena.

Kama mtumishi hana mradi wowote wallah anaweza kufa kwa njaa au pressure pindi atakapostaafu maana kipindi cha kusubiria mafao hakitabiriki.
Wa fao la kujitoa
 
Dah! Kama una 50+ na bado unapokea take home ya 500k, basi kuna mahali ulikosea. Inawezekana ulivyoingia kazini ulibweteka, hukujiendeleza kielimu.
Hujui unachokiandika. Fanya utafiti wa mishahara ya wafanyakazi wa sekta ya umma utapata jibu la hoja yako!
Nikusaidie elimu kidogo, let's say uliajiriwa kwa level ya certificate mwaka 1987 ambapo mshahara ulikuwa sh.2250/= na kupanda hayo madaraja Hadi level ya that's E ukafika ukomo wa kupanda daraja na hapo basic yako ni sh. 750000/= bila makato. Baada ya makato unategemea mtu huyu abaki na zaidi ya 5lakh? Jibu ni hapana. Usisahau hata ukijiendeleza mwajiri atakulipa Hadi ngazi ya shahada na Kama una masters hiyo hatoitambua anaita mbwembwe na kukushushua kuwa Hana haha na masters Bali certificate ambayo ndiyo uliyoajiriwa kwayo! Unanisoma Sasa?
Mwajiri anataka watu wa certificate wengi badala ya degree kwasababu degree tatu ni sawa na certificate tano au sita na yeye Ana lengo la kupunguza uhitaji wa ajira mtaani. Hivyo hata usomeje ni kwa faida yako na siyo ya mwajiri! Mbinu hii wengi hamuijui na ndio maana waliojiendeleza wanaishia kusononeka na kuhisi kuonewa kwa kuzidiwa mishahara na wasiojiendeleza kielimu!
 
Binafsi naona wastaafu ndio kundi pekee waliomaliza kuzisoma namba zote hapa duniani.

Kuna wastaafu wengine wana miaka 2,3 n.k hawajalipwa stahiki zao.

Kila siku wakienda PSSSF wanaambiwa bado hiki, wakikamilisha hiki wanaambiwa bado kile. Then hupewa kakenda ya kulipwa, hapo sasa shughuli inaanza tena.

Kama mtumishi hana mradi wowote wallah anaweza kufa kwa njaa au pressure pindi atakapostaafu maana kipindi cha kusubiria mafao hakitabiriki.
Jamani hapa na stress kidogo ivi anaejua ile nyimbo ya CCM mbele kwa mbele kaimba Nani Mana nataka niidownload ata inipe faraja mna so kwa Moto huu nilioona kwenye ajira za serikali
 
Kuna waliomaliza mikataba yao pesa zao wanapewa asilimia 33 tuu nyingine mpaka baada ya miezi 18

Hivi sheria ya fao la kujitoa imeshapita au bado?
Mkuu hili nalo ni janga. Hawa jamaa wa NSSF hawako uniformity kabisa. Tulimaliza mkataba na mwanangu mmoja hivi. Yeye mafao yake alipewa miezi mi3 baada ya kukamilisha kujaza zile form. Nikapata mishe flani hivi moshi nikaondoka na makaratasi yangu kwenda nayo moshi.

Nimemaliza kujaza form nikaambiwa baada ya siku 5 mpunga utakuwa ushaingia. Nikasubiria kama mwezi hakuna kitu. Nikiwa kwenye harakati niende ofisi zao, nikapigiwa simu kwamba nipeleke vyeti vya taaluma. Nikajiuliza vyeti vya nini? Wanataka waniajiri au? Nikaona isiwe kesi.

Nikapeleka vyeti, nikaambiwa ndani ya siku 2 mzigo utaingia. Nimekaa mwezi m1 hakuna kitu. Ghafla nikapigiwa simu wananiambia kama akaunti yangu iko active. Nikataka niwatukane matusi mazito then niwaachie hela nikaona nop, nikawajibu ina maana nitakuja huko niwape akaunti mfu? Wakaniambia ok, ijumaa mzigo utasoma. Leo ni wiki ya 3 hakuna kitu.

Na nilivyopeleka vyeti nakumbuka kwenye form yangu walikuwa wameiandika 33.3. Sasa kuja hapa kuona umeandika hiyo 33 nikakumbuka kile nilichoona pale.

Ila kiukweli NSSF kwa ujumla wanakera sana. Hasa ya kule Moshi, kuna mama mmoja pale yuko reception ana lugha za maudhi sana kiasi kwamba usipokuwa na kifua unaweza jikuta ushamzaba kibao au kumtukana.

Tangu mwaka jana mwezi wa 10 nahangaika na bado sijafanikiwa

NSSF MOSHI kmmk zenu!!
 
Customer Service kwa government institutions iko chini Kama kuzimu,ukiingia tu pale unajuta kwanini ulizaliwa Maskini au kwanini ulizaliwa Tanzania.

Tehama ni changamoto Ila wenye dhamana wanafikiri wanapozungusha watu wanawakomoa nope,kuna siku unaweza kuambiwa mtandao uko chini.Fine Kama uko chini hakunaa Backup? Mnakaa kwenye mabenchi mnasota mpaka suruali zinabana kwenye makalio.

Mentality iliyojengwa na Government institution Staff kuwa wao ndo wao .Tofauti unapoingia private sector kwanza huyo lady alitakiwa anapongea na wewe asimame.

Nikisiaga Customer service hapa Kwetu napata kichefuchefu.NSSF ni janga kama Mama akiliona suala hili na jinsi wawekezaji wanavyokuja lazima tuwaambia NSSF act in Tanzania is terrible unless they ammend their acts
 
Back
Top Bottom