Ukiona utadhani

Ndo mwendelezo wa hivihivi
Vitakuja vingi sana ambavyo hatuvifikirii kwa hivi sasa.

Kwa jinsi tekinolojia inavyobadilika na kukua siki hadi siku vizazi vitakavyokuja usishangae hata gari ikawa inaendeshwa kwa remote hakuna kushika usukani wala kukanyaga kanyaga, unakaa kwenye siti ya nyuma huku ukiwa unaendelea kuweka mapicha jukwaa la picha au kukawa na program ambayo unaiprogram gari yako labda mfano Dar-Arusha wewe baada ya hapo unaendelea na shughuli zako au kulala mwisho wa safari inasimama yenyewe. Na barabara zinakuwa za kidijitali zaidi pia kwa magari ambayo yatakayokuwa kwenye program
 

JF photos itanikoma hata nikimuona sisimizi anajojoa au anafanya matuc namfotoa napost kwa raha zangu
 
Naiman nimecheka mpaka bia yangu imemwagika yote wallah

Kijana kucheka cheka kwako kutakuja kukuponza siku moja.
Shauri yako!

Usije tongozwa tu ukarusha ngumi!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…